MAJIBU: Kwanini CUF/UKAWA wanashiriki uchaguzi mdogo wa jimbo la Dimani, Zanzibar?

TangataUnyakeWasu

JF-Expert Member
Dec 18, 2016
1,268
1,587
JIBU;

>> Wabunge wale unawaona wa CUF katika bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania walitokana na uchaguzi mkuu wa oktoba 25, 2015..,

>> Katika uchaguzi wa mwezi Machi, 2015 (wa marejeo) CUF hawakushiriki.., uchaguzi ambao CUF walisema kuwa ni batili.., (pia CUF hawana wabunge katika baraza la wawakilishi hafi sasa).., uchaguzi wa marejeo ulikuwa wa kutafuta 'wajumbe wa baraza la wawakilishi' siyo 'wabunge wa JMT'..,

>> CUF walisusia chaguzi zilizoko chini ya Mamlaka ya moja kwa moja ya ZEC [Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar], ambayo iko chini ya SALUM JECHA.., haswaa chaguzi za kuwatafuta wajumbe wa baraza la wawakilishi Zanzibar..,

>> ndiyo.., uchaguzi mdogo wa jimbo la Dimani (ambao utafanyika 22-01-2017) ni wa kuchagua mbunge wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na siyo mjumbe wa baraza la wawakilishi Zanzibar.., CUF walisusia chaguzi za ZEC (Jecha) na siyo NEC..,

Hivyo CUF wako sahihi katika hili.., hakuna sehemu wamekosea katika kauli zao za mwanzo..,

Ahsante ;

Martin Maranja Masese (MMM)
 
CUF hawakususia uchaguzi bali walishiriki na wakashinda, walishinda kwenye ngazi zote kuanzia udiwani, uwakilishi, ubunge na uraisi ila wakaporwa ushindi, halafu ccm wakaitisha uchaguzi wa kituko na kumtangaza shein kuwa amepata ushindi wa tsunami wa zaidi ya 95% ya kura, na yeye akachekelea ushindi wa dhuluma huku akiwa na macho makavu na wazanzibari wakiwa kimya wanamuangalia tu
 
Uchaguzi mdogo Dimani
d4.jpg
 
15894481_1345438752143658_3607544545952832642_n.jpg
 
Attachments

  • 15894481_1345438752143658_3607544545952832642_n.jpg
    15894481_1345438752143658_3607544545952832642_n.jpg
    21.4 KB · Views: 54
Na ufafanuzi zaidi ni kwamba uchaguzi huu wa sasa ni kufata matakwa ya katiba. Aliye kuwa mbunge wake amefariki na kayiba inasema lazima kufanyike uchaguzi kupata mbunge mwengine. Hivyo ni takwa la kikatiba.
Ule uchaguzi wa March haukua wa kikatiba bali ni uchaguzi wa kuhalalisha kuvunjwa kwa katiba
 
Kwa kawaida vijana wa CCM wana uwezo mdogo sana wa kuchambua na kuyaelewa masuala mbalimbali ya kijamii. Nashukuru umeleta ufafanuzi/umejibu vijiswali vyao uchwara mapema sana. Hawaelewi na hawataelewa.
 
CUF wanashiriki kwa sababu muungano hawautaki ila pesa ya posho ya bunge la muungano wanaitaka BY YEHODAYA
 
Kwa kawaida vijana wa CCM wana uwezo mdogo sana wa kuchambua na kuyaelewa masuala mbalimbali ya kijamii. Nashukuru umeleta ufafanuzi/umejibu vijiswali vyao uchwara mapema sana. Hawaelewi na hawataelewa.
Na kubaliana nawe.wa lununba wana vichwa vya panzi.Magu aneligundua hilo kwamba walunumba hoja zao humezwa na za vijana wa upinzani.Ndio maana anataka JF ifungwe.
 
CUF hawakususia uchaguzi bali walishiriki na wakashinda, walishinda kwenye ngazi zote kuanzia udiwani, uwakilishi, ubunge na uraisi ila wakaporwa ushindi, halafu ccm wakaitisha uchaguzi wa kituko na kumtangaza shein kuwa amepata ushindi wa tsunami wa zaidi ya 95% ya kura, na yeye akachekelea ushindi wa dhuluma huku akiwa na macho makavu na wazanzibari wakiwa kimya wanamuangalia tu
Kama walijiamini walishinda kwanini hawakurudia?
 
Na ufafanuzi zaidi ni kwamba uchaguzi huu wa sasa ni kufata matakwa ya katiba. Aliye kuwa mbunge wake amefariki na kayiba inasema lazima kufanyike uchaguzi kupata mbunge mwengine. Hivyo ni takwa la kikatiba.
Ule uchaguzi wa March haukua wa kikatiba bali ni uchaguzi wa kuhalalisha kuvunjwa kwa katiba
Kwanini seif hakufuata katiba akajitangazia ushindi?
 
CUF hawakususia uchaguzi bali walishiriki na wakashinda, walishinda kwenye ngazi zote kuanzia udiwani, uwakilishi, ubunge na uraisi ila wakaporwa ushindi, halafu ccm wakaitisha uchaguzi wa kituko na kumtangaza shein kuwa amepata ushindi wa tsunami wa zaidi ya 95% ya kura, na yeye akachekelea ushindi wa dhuluma huku akiwa na macho makavu na wazanzibari wakiwa kimya wanamuangalia tu
Yana mwisho...
 
Back
Top Bottom