MAJIBU: Kwanini CUF/UKAWA wanashiriki uchaguzi mdogo wa jimbo la Dimani, Zanzibar?

Sawa lets assume alivunja katiba?? Najiuliza sasa kipo kilifanya ZEC wasitangaze matokeo ya urais wa majimbo 14 yaliyobaki kwanni walikaa kimya hadi walapelekea maalim ajitokeze ndo wakapata sababu ya kufuta uchaguzi?? Hvi ji wapi jecha alisema kafuta uchaguzi kwa kuwa maalim kajitangaza urais??
Usiassume kubali alivunja
 
Kulitokea kasoro nyingi za uchaguzi pamoja na yeye kujitangaza kwa mfano wajumbe wa tume huru walikinzana mpk kupigana n.k
Naongelea kabla ya seif kujitangaza.... kipi hasa kiliwafanya zec waache kutangaza matokeo ndipo siku chache baadae seif "akavunja" katiba
 
Hivi wajumbe kupigana ndio kulifanya matokeo ya majimbo yote kufutwa?? Yaani kupigana ngumi kwa watu wawili ndio kusababishe matokeo yote kufutwa?? Kwanni msingefuta matokeo ya sehem husika lets say majimbo ya unguja afu mkarudia uchaguzi kwenye maeneo machache tu bila kuathiri mfumo wa uchaguzi mzima??
 
Kutokana na migogoro kwenye tume walikuwa hawapati muafaka vikao vinavunjika wajumbe wanapigana na kila kitu seif alikijua kupitia wajumbe wa cuf ndani ya tume
 
Hivi wajumbe kupigana ndio kulifanya matokeo ya majimbo yote kufutwa?? Yaani kupigana ngumi kwa watu wawili ndio kusababishe matokeo yote kufutwa?? Kwanni msingefuta matokeo ya sehem husika lets say majimbo ya unguja afu mkarudia uchaguzi kwenye maeneo machache tu bila kuathiri mfumo wa uchaguzi mzima??
Sio kupigana pekee pamoja na seif kujitangaza na kasoro zingine za kupishana idadi ya watu waliopiga kura na kura zenyewe. Wangetangaza overall results kuwa sharif kashinda kungekuwa na malalamiko kuwa tume imefuata tamko la seif na wangetangaza kinyume chake ingelalamikiwa na wafuasi wa seif hivyo ikaonekana ni busara ya hali ya juu kuliondoa taifa kwenye uwezekano wa kumwaga damu kwa kufuta uchaguzi uanze upya na kurekebisha kasoro na busara hiyo imezaa zanzibar tulivu yenye watalii wengi kupita miaka yote kama unavyoiona hivi sasa.
 
Ni tume ya uchaguzi tu inayotangaza matokeo
Hio haimo ndani ya katiba.hata hivo
Mbona haikutangaza sasa...
Tume yenyewe ndio inatangaza ni kweli na inayabandika kila kituo cha kura...kila mtu anajumuisha yake na kuyaweka hadharani...tume inatangaza mshindi official ..lakini utaratibu ulivo kila mgimbea anajua kapata ngapi.
 
Hizo kasoro zimejitokeza hata kabla ya seif kujitangaza....... ilikuwaje basi uchaguzi ufutwe kwa kosa lililofanyika mwishoni kabisa afu hao waliovuruga uchaguzi hawajawekwa ndani hao waliopigana.......

Pia mkuuu mbona amani karume alidai kwenye mahojiano na DW kuwa seif alishinda kihalali ila bara ndio walikuwa wanampressure shein asikubali kuachia madaraka?? Kuna uwezekano karume ni pandikizi ama??
 
Kila mgombea anajua ana ngapi lkn hatakiwi kujitangaza kuwa ni mshindi
 
Karume ni maoni yake binafsi. Tume ndicho chombo kinachosimamia ughaguzi na kutangaza matokeo yake. Nimekuambia kasoro zimejitokeza gradually hivyo ukimya ule ni wa kujaribu kusolve na seif akashindilia msumari wa moto kidondani.
Kuhusu kukamatwa nimekuambia hapo juu ni busara imetumika kutokana na historia ya kuchinjana ya znz kukamatana kungeleta balaa kubwa kwa sab hata seif alipaswa kukamatwa unadhani tension ingekuwaje seif angekamatwa? So ikaonekana the best decision ni kurudia uchaguzi hata kama ni gharama ni bora gharama ya pesa kuliko gharama ya damu.
 
Kila mgombea anajua ana ngapi lkn hatakiwi kujitangaza kuwa ni mshindi
Na yeye hajajitangaza kuwa mshindi
Hicho kisingixio
Ni ulafi tu wa madaraka na hawana jipya wafanyalo zaid ya ufisadi
 
Acha kumtetea aliita waandishi wa magazeti redio na televisheni akatangaza kuwa yeye ana kura kadhaa na shein ana kura kadhaa na hata kama hayo majimbo yaliyobaki shein akipata yote yeye ni mshindi na kwanini tume haitangazi hivyo. HIVYO NDIVYO ALIVYOSEMA SHARIFF. Je amejitangaza hajajitangaza? Angesema "kwanini tume haitangazi matokeo" sio "kwanini tume haitangazi kwamba mimi ni mshindi" angalia tofauti ya hizo kauli mbili.
 
Tume hutangaza rais mteule baada ya result. Inathubitisha kilichotokea
Hutamka tunamtangaza fulani ndio rais mteule.
Kutangaza namba jambo la kawaida sana.
Ccm ni walafi wa madaraka
Kinana alithubitisha juzi
 
Vyama vyote vya siasa duniani lengo kuu ni kushika madaraka kama huo unauita ni ulafi nakubaliana na wewe kwamba ccm wana ulafi wa madaraka.
 
Tume hutangaza rais mteule baada ya result. Inathubitisha kilichotokea
Hutamka tunamtangaza fulani ndio rais mteule.
Kutangaza namba jambo la kawaida sana.
Ccm ni walafi wa madaraka
Kinana alithubitisha juzi
halafu unaonekana hujui tofauti ya kutangaza idadi ya kura za mgombea na kutangaza mshindi ngoja nikueleweshe kwa mara ya mwisho anayejitangazia idadi ya kura tu atasema hivi KURA NILIZOPATA BAADA YA KUJUMLISHA VITUO KADHAA NI HIZI..... anayetangaza ushindi atasema KURA NILIZOPATA BAADA YA KUJUMLISHA VITUO KADHAA NI HIZI..... NA MIMI NDIYE MSHINDI. nadhani hapo umeona tofauti.
 
Acha kumtetea aliita waandishi wa magazeti redio na televisheni akatangaza kuwa yeye ana kura kadhaa na shein ana kura kadhaa na hata kama hayo majimbo yaliyobaki shein akipata yote yeye ni mshindi na kwanini tume haitangazi hivyo. HIVYO NDIVYO ALIVYOSEMA SHARIFF. Je amejitangaza hajajitangaza? Angesema "kwanini tume haitangazi matokeo" sio "kwanini tume haitangazi kwamba mimi ni mshindi" angalia tofauti ya hizo kauli mbili.
kwa hiyo na Lowasa angejitangaza mshindi uchaguzi wa bara ungefutwa?
 
Hivi wajumbe kupigana ndio kulifanya matokeo ya majimbo yote kufutwa?? Yaani kupigana ngumi kwa watu wawili ndio kusababishe matokeo yote kufutwa?? Kwanni msingefuta matokeo ya sehem husika lets say majimbo ya unguja afu mkarudia uchaguzi kwenye maeneo machache tu bila kuathiri mfumo wa uchaguzi mzima??
Kwanza kupigana kwa wajumbe wa ZEC sio sababu ya msingi ya kufuta uchaguzi kwani wajumbe ni wasimamizi tu. Ngumi zao hazikuongoza wala kupunguza kura.
 
Back
Top Bottom