Majibu kwa walioomba application awamu ya pili NACTE yatatoka lini?

Last sentinel

Senior Member
Jan 13, 2013
191
62
Habari wana JamiiForums,

Nilikuwa nauliza lini majibu yatatoka kwa wale walioomba maombi ya vyuo kwa mara ya pili.

Nawasilisha.
 
Jamani anayejua selection za NACTE awamu ya pili zinatoka lini naomba anisaidie. Msaada wenu plz.

Nawasilisha
 
Mimi nimemaliz form 4 mwaka jana na nimefaulu vizuri but nilishindwa ku apply chuo kupitia NACTE mapema coz nilipata matatizo ya kiafya hivyo 1st selection ilivyo toka nilikuwa sijaapply bado.

Lakini nili apply second selection ya C.O. Hivo nataka kujua selection zinatoka lini? Hapa nilipo nimechanganyikiwa nahisi kama nishakosa nafasi.

Naomben mnisaidie tafadhali
 
mimi nimemaliz form 4 mwaka jana na nimefaulu vizur....bt nilishindwa ku apply chuo kupitia nacte mapem coz nilipat matatiz ya kiafy ivo 1st selction ilivyo toka nlikuw cja apply bado....bt nili apply sec selection ya C.O....IVo natak kujua selection zinatok lin?coz hapa nilipo nimechanganyikiwa nahisi kama nishakosa nafas....naomben mnisaidie tafadhali
alhamis ijayO
 
Back
Top Bottom