[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Yaana bongo na ukubwa wake imekosa muwakilishi kwenye SHITHOLE mbona nasikia huwa kuna watu wanadai haki zao za kutambuliwa wanaitwa diaspora? au hata uko kale kaugonjwa ka kuandika ile lugha ya malkia iliyoletwa na meli bado ni kero kama huku nyumbani??
Yaani hapo wamethibitisha "ushithole" waoMajibu pekee ya Waafrika kwa Rais wa Marekani Trump ni kuhakikisha tu nchi zetu zote zinamlipa au zinailipa Marekani madeni yake yote inayozidai huku zikimuahidi pia kutokuwa zinamtegemea kuanzia leo kuliko huo unjinga / ungumbaru niliouona hapo juu. Na nadhani kilichofanyika hapo juu ambacho Mleta uzi kasema kwamba ndiyo majibu ya Waafrika kwa Rais Trump naona kama vile ndiyo muendelezo ule ule wa akili za ki ' hovyo hovyo ' za Waafrika wengi hata wale waishio huko huko Ng'ambo / Unyawezini.
Huo ndiyo uanaume.Mwanaume unapaswa kuwa kidume.Kulingana na kitabu cha fire and furry kuna habari ya chini ya mkeka kwamba trump ana affair na mtumishi wa kike ndani ya white house.
[emoji23] [emoji23]Yaana bongo na ukubwa wake imekosa muwakilishi kwenye SHITHOLE mbona nasikia huwa kuna watu wanadai haki zao za kutambuliwa wanaitwa diaspora? au hata uko kale kaugonjwa ka kuandika ile lugha ya malkia iliyoletwa na meli bado ni kero kama huku nyumbani??