Mtende
JF-Expert Member
- Sep 27, 2010
- 6,385
- 7,335
Ndugu mzee wa ruksa, suala la CCM A na CCM B KWA SASA SIO HOJA YA MSINGI, LABDA NIKUULIZE SWALI DOGO, HIVI ULIPOOA MKE WA PILI WAKATI TAYARI UNA MKE MKUBWA, ULIKUWA UNATAKA NINI? bila shaka utanipa majibu yafuatayo...
ONGEZENI MAJIBU ZAIDI, KARIBUNI
- Dini yako inaruhusu
- Ulitaka kubadilisha ladha
- Uliamua kufanya hivyo
- Kwanza katiba inaturuhusu kuchagua chama tukipendacho na mgombea tunaemtaka
- Tunahitaji kubadilisha ladha, tunachokitaka ccm A tumekikosa ngoja tukitafute CCM B kama vile wewe ulivyooa mke wa pili
- Tatu, wakati wa mabadiliko umefika, so tumeamua kwa nguvu zetu.
ONGEZENI MAJIBU ZAIDI, KARIBUNI