Majibu kwa Lissu na Pascal Mayalla

Majibu kwa Lissu na Pascal Mayalla

Kaziutumishi

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2018
Posts
325
Reaction score
385
Nawashauri acheni habari kumtaja taja dereva whether ni kwa lengo la kuonesha hahusiki au anahusika. Tatizo ni kuwa watz wengi wanahitaji kusaidiwa ktk KUFIKIRI na at the same time wasiojulikana wapo kazini kupitia media, genge za kahawa na shoeshines kuwasaidia KUFIKIRI kuficha ukweli.

Maoni yangu ni kuwa mjadala wote juu ya jaribio la kumuua LISSU uwe ktk sura hii;
1. Je mtz yoyote akishambuliwa uchunguzi unatakiwa unafanywa na nani?
2. Je kuna uchunguzi wowote umefanyika juu ya Lissu?
3. Km NDIYO je maendeleo ya uchunguzi huu yamefikia wapi?
4. Km HAKUNA je why serikali ya Tz imeamua kutokufanya uchunguzi wa tukio la Lissu?
5. Je kwa katiba yetu nani ni mkuu wa serikali ta Tz na ana mamlaka kiasi gani?
6. Je nani ni mkuu wa serikali ya Tz wakati Lissu ameshabuliwa na sasa mwaka moja baadaye?
7. Je aliyepigwa risasi kuna watu anaowashakia walihusika in/directly?
8. Km wapo WANAOSHAKIWA je ni kina nani?
9. Km hawapo wanaoshakiwa hi habari ya dreva wa Lissu lengo lake ni nini?
10. Kwa hiyo sisi km watz tunafanyeje juu ya Lissu kupigwa RISASI 38?

Jibu la swali namba 10 ni hv, ondoa kichaa jiwe na genge lake by any means necessary, tengeneza katiba ya MERIT BASED SOCIETY kisha serikali na taasisi zitafanya kazi zake za kuchunguza yote ya kina lissu, saanane, azori, mawazo, yona na wengine wote.

Nje ya hapo ni kuendelea kunufaisha wanaonufaika siku zote na hawa watz wanaotakiwa kusaidiwa KUFIKIRI
 
Pascal Mayalla
 
Lisu asijichoshe kumjibu Pascal kwa maana sikuhizi akili za pascal hazina tofauti na vijana wa lumumba.
 
It is a pity kuwa watu tuliokuwa tunawatumaini kama brain za nchi hii angalau katika tasnia ya uandishi wa habari , ndio wako hivi kama Pascal! Nilkuwa nimeanza kujenga positive attitude na huyu bwana , lkn post ya leo imenitoa kabisa! Pascal unashindwa kuona kuwa wapinzania wote wa Jiwe ambao ni outspoken wamepotea, and knowing kuwa Lisu ni namba MOJA mpinzani (siyo adui) wa Jiwe, kuwa hili lililotokea most likely and that is SO ni mkono wa Jiwe? Pascal Mayalla
 
Umaskini ni kitu kibaya sana mkuu,fikiria udaiwe ada ya watoto,kodi ya nyumba shida hapohapo una marejesho bank,mama/baba/mke awe mgonjwa hospital.Hope utakuwa umenielewa mkuu.
 
Dereva wa Lissu ni mtu muhimu saaana kwenye uchunguzi. Sasa anafichwa asihojiwe. Na wanaomficha ni wadau muhimu kwenye hii kesi. Ni wazi kuna kitu hapa. Dereva anakwenda kukaa na mgonjwa Nairobi na baadaye Belgium. Mwanzoni tukadanganywa anatibiwa kisaikologia. Sasa hivi hawasemi tena. Kwa nini isiaminike kuwa anafundishwa atakavyojibu pindi wanaomficha wakimwachia? Ila ukweli utafahamika tu. Wenye akili wanapojadili kushambuliwa kwa Lissu NI LAZIMA wawaze ni kwa nini dereva anafichwa kwa gharama kubwa sana.
 
Sasa yuko Chuo Anasema certificate kisha Diploma akimaliza degree ndiyo anakuja kuhojiwa
Habari za ndani zinasema anatafutiwa namna ya kupata Uraia au Ukimbizi
Jiulizeni kwanini yote hayo yanafanywa na Chadema?
 
Nawashauri acheni habari kumtaja taja dereva whether ni kwa lengo la kuonesha hahusiki au anahusika. Tatizo ni kuwa watz wengi wanahitaji kusaidiwa ktk KUFIKIRI na at the same time wasiojulikana wapo kazini kupitia media, genge za kahawa na shoeshines kuwasaidia KUFIKIRI kuficha ukweli.

Maoni yangu ni kuwa mjadala wote juu ya jaribio la kumuua LISSU uwe ktk sura hii;
1. Je mtz yoyote akishambuliwa uchunguzi unatakiwa unafanywa na nani?
2. Je kuna uchunguzi wowote umefanyika juu ya Lissu?
3. Km NDIYO je maendeleo ya uchunguzi huu yamefikia wapi?
4. Km HAKUNA je why serikali ya Tz imeamua kutokufanya uchunguzi wa tukio la Lissu?
5. Je kwa katiba yetu nani ni mkuu wa serikali ta Tz na ana mamlaka kiasi gani?
6. Je nani ni mkuu wa serikali ya Tz wakati Lissu ameshabuliwa na sasa mwaka moja baadaye?
7. Je aliyepigwa risasi kuna watu anaowashakia walihusika in/directly?
8. Km wapo WANAOSHAKIWA je ni kina nani?
9. Km hawapo wanaoshakiwa hi habari ya dreva wa Lissu lengo lake ni nini?
10. Kwa hiyo sisi km watz tunafanyeje juu ya Lissu kupigwa RISASI 38?

Jibu la swali namba 10 ni hv, ondoa kichaa jiwe na genge lake by any means necessary, tengeneza katiba ya MERIT BASED SOCIETY kisha serikali na taasisi zitafanya kazi zake za kuchunguza yote ya kina lissu, saanane, azori, mawazo, yona na wengine wote.

Nje ya hapo ni kuendelea kunufaisha wanaonufaika siku zote na hawa watz wanaotakiwa kusaidiwa KUFIKIRI
Kwa hiyo wewe unapendekeza serikali ya nchi hii iliochaguliwa kidemokrasia ipinduliwe au ? Wacha ujinga ndugu ! Tembelea Libya na Iraq walau mitandaoni uoene ya huko halafu rudi humu JF na pendekezo mbadala.
 
Dereva wa Lissu ni mtu muhimu saaana kwenye uchunguzi. Sasa anafichwa asihojiwe. Na wanaomficha ni wadau muhimu kwenye hii kesi. Ni wazi kuna kitu hapa. Dereva anakwenda kukaa na mgonjwa Nairobi na baadaye Belgium. Mwanzoni tukadanganywa anatibiwa kisaikologia. Sasa hivi hawasemi tena. Kwa nini isiaminike kuwa anafundishwa atakavyojibu pindi wanaomficha wakimwachia? Ila ukweli utafahamika tu. Wenye akili wanapojadili kushambuliwa kwa Lissu NI LAZIMA wawaze ni kwa nini dereva anafichwa kwa gharama kubwa sana.

Alikuwa Nairobi na mlipewa taratibu za kufuata kumhoji...kwani watu walijigusa? Imagine gari iliibiwa Kenya, taarifa ikatolewa kwa police Tanzania mbona ilikamatwa fasta tu. Hili la Lissu ni wazi kuwa kuna amri imetolewa hakuna kuhusika kwa namna yeyote ile.

Kuna watu wamebarikiwa roho za kipekee, how comes mtu unakuwa hivyo, hata nafsi haikusuti?
 
Dereva wa Lissu ni mtu muhimu saaana kwenye uchunguzi. Sasa anafichwa asihojiwe. Na wanaomficha ni wadau muhimu kwenye hii kesi. Ni wazi kuna kitu hapa. Dereva anakwenda kukaa na mgonjwa Nairobi na baadaye Belgium. Mwanzoni tukadanganywa anatibiwa kisaikologia. Sasa hivi hawasemi tena. Kwa nini isiaminike kuwa anafundishwa atakavyojibu pindi wanaomficha wakimwachia? Ila ukweli utafahamika tu. Wenye akili wanapojadili kushambuliwa kwa Lissu NI LAZIMA wawaze ni kwa nini dereva anafichwa kwa gharama kubwa sana.
Mtakuwa mmetumwa sio bure! It's fortunate wote wamepona. Angekufa Lisu Dereva angeteseka sana. God is working between us. Ficha upumbavu wako.
 
Nawashauri acheni habari kumtaja taja dereva whether ni kwa lengo la kuonesha hahusiki au anahusika. Tatizo ni kuwa watz wengi wanahitaji kusaidiwa ktk KUFIKIRI na at the same time wasiojulikana wapo kazini kupitia media, genge za kahawa na shoeshines kuwasaidia KUFIKIRI kuficha ukweli.

Maoni yangu ni kuwa mjadala wote juu ya jaribio la kumuua LISSU uwe ktk sura hii;
1. Je mtz yoyote akishambuliwa uchunguzi unatakiwa unafanywa na nani?
2. Je kuna uchunguzi wowote umefanyika juu ya Lissu?
3. Km NDIYO je maendeleo ya uchunguzi huu yamefikia wapi?
4. Km HAKUNA je why serikali ya Tz imeamua kutokufanya uchunguzi wa tukio la Lissu?
5. Je kwa katiba yetu nani ni mkuu wa serikali ta Tz na ana mamlaka kiasi gani?
6. Je nani ni mkuu wa serikali ya Tz wakati Lissu ameshabuliwa na sasa mwaka moja baadaye?
7. Je aliyepigwa risasi kuna watu anaowashakia walihusika in/directly?
8. Km wapo WANAOSHAKIWA je ni kina nani?
9. Km hawapo wanaoshakiwa hi habari ya dreva wa Lissu lengo lake ni nini?
10. Kwa hiyo sisi km watz tunafanyeje juu ya Lissu kupigwa RISASI 38?

Jibu la swali namba 10 ni hv, ondoa kichaa jiwe na genge lake by any means necessary, tengeneza katiba ya MERIT BASED SOCIETY kisha serikali na taasisi zitafanya kazi zake za kuchunguza yote ya kina lissu, saanane, azori, mawazo, yona na wengine wote.

Nje ya hapo ni kuendelea kunufaisha wanaonufaika siku zote na hawa watz wanaotakiwa kusaidiwa KUFIKIRI
Maswali ya Nyongeza 1,.Je Km wameshindwa Kuchunguza kwanini hawataki Tume Huru kuna kitu gani nyuma ya Pazia
2, Wanao Mtuhumu dereva je ana cheo gani cha kuwaamrisha Walinzi wote wasiwepo kwenye maeneo yote
3.Ninani Hupanga zamu za walinzi
4.Je walinzi ni wa Kampuni Binafsi.
 
wasiojulikana ipo day watatajwa kwa majina na kila mtu atawafahamu! Mungu aendelee kumponya lissu! Ni suala la muda tu!
Naona watu mnakuwa wepesi kusahau. Wasiojulikana walianza kutajwa pale walipoenda kumteka Zakaria Tarime na mchezo ukakosewa mahesabu wakaambulia shaba.
Kwa kuona wameumbuka wakaamua kumuanzishia kesi ya uhujumu.
Lakini swali likabaki palepale, TISS wana mamlaka ya kumfuata mtu usiku kumshika eti ana mashtaka ya uhujumu?
 
Nawashauri acheni habari kumtaja taja dereva whether ni kwa lengo la kuonesha hahusiki au anahusika. Tatizo ni kuwa watz wengi wanahitaji kusaidiwa ktk KUFIKIRI na at the same time wasiojulikana wapo kazini kupitia media, genge za kahawa na shoeshines kuwasaidia KUFIKIRI kuficha ukweli.

Maoni yangu ni kuwa mjadala wote juu ya jaribio la kumuua LISSU uwe ktk sura hii;
1. Je mtz yoyote akishambuliwa uchunguzi unatakiwa unafanywa na nani?
2. Je kuna uchunguzi wowote umefanyika juu ya Lissu?
3. Km NDIYO je maendeleo ya uchunguzi huu yamefikia wapi?
4. Km HAKUNA je why serikali ya Tz imeamua kutokufanya uchunguzi wa tukio la Lissu?
5. Je kwa katiba yetu nani ni mkuu wa serikali ta Tz na ana mamlaka kiasi gani?
6. Je nani ni mkuu wa serikali ya Tz wakati Lissu ameshabuliwa na sasa mwaka moja baadaye?
7. Je aliyepigwa risasi kuna watu anaowashakia walihusika in/directly?
8. Km wapo WANAOSHAKIWA je ni kina nani?
9. Km hawapo wanaoshakiwa hi habari ya dreva wa Lissu lengo lake ni nini?
10. Kwa hiyo sisi km watz tunafanyeje juu ya Lissu kupigwa RISASI 38?

Jibu la swali namba 10 ni hv, ondoa kichaa jiwe na genge lake by any means necessary, tengeneza katiba ya MERIT BASED SOCIETY kisha serikali na taasisi zitafanya kazi zake za kuchunguza yote ya kina lissu, saanane, azori, mawazo, yona na wengine wote.

Nje ya hapo ni kuendelea kunufaisha wanaonufaika siku zote na hawa watz wanaotakiwa kusaidiwa KUFIKIRI
Kaka mkubwa nilidhani utakuwa unajadili kwa fikra huru kumbe umefungwa na ubinafisi wa fikra.
Naomba nikuulize maswali ya msingi kama yafuatayo
1) Kiasi furani utakuwa umesoma au kusikia tukio lolote linapotokea ni watu gani wanakuwa wakwanza kuojiwa na jeshi au vyombo husika vya Usalama?
2)Je kila tukio la upelelezi police wanalazimika kutoa taarifa kwa jamii au wananchi husika?
3) Wewe unataka watanzania wafanye nini kuhusu kupigwa risasi 38? Na je Lissu ndie mtanzania wa kwanza kupingwa risasi na kama sio wa kwanza je waliopigwa kabla yake watanzania walifanya nini na ww ulifanya nini
Ombi langu kwako ukiwa unajadili mambo yanayogusa jamii kwa ujumla wake husiongozwe na matamanio binafisi
 
Kwa hiyo wewe unapendekeza serikali ya nchi hii iliochaguliwa kidemokrasia ipinduliwe au ? Wacha ujinga ndugu ! Tembelea Libya na Iraq walau mitandaoni uoene ya huko halafu rudi humu JF na pendekezo mbadala.
Mambo matatu, ama upo kwenye kazi ya kichaa jiwe au ni mmoja wa wanufaika wa huu utawala qake ua una tatizo la low IQ ambayo sikulaumu maana ni kazi ya genetics
 
Back
Top Bottom