Jamami Asprin kuniongelesha kwa ukali hivyo si uniambie polepole
Orayto.... kam zis wei so zat I can meki yuu mai third small waif..... Liken't you?
Afu jina la huyu mleta mada ng'wana ong'wa kulwa nakushauri usije ukalitamka ukiwa na mimba ya kwanza, lazima itaharibika. Jamaa lina jina gumu kama jiwe la mto Nile.
Jamani mwamsheni lala 0, miss neddy wake make hawajalala taabu hii ya kukosa ndoa in hatari sana. Usichana wao wamechezea chuoni wakiamini mtaani mambo safi.
Orayto.... kam zis wei so zat I can meki yuu mai third small waif..... Liken't you?
Afu jina la huyu mleta mada ng'wana ong' wa kulwa nakushauri usije ukalitamka ukiwa na mimba ya kwanza, lazima itaharibika. Jamaa lina jina gumu kama jiwe la mto Nile.
Jamani mwamsheni lala 0, miss neddy wake make hawajalala taabu hii ya kukosa ndoa in hatari sana. Usichana wao wamechezea chuoni wakiamini mtaani mambo safi.
Nawahi nafasi! Nimerudi!
YES MARRIAGE IS A HYPOCRITICAL INSTITUTION SIFUTI KAULI!
Naomba kujibu hoja zako kama ifuatavyo!
Kwanza ile kama fasihi simulizi yoyote inapokelewa tofauti tofauti na hadhira! Naomba nijibu mapokeo yako ya ile fasihi andishi nilioiweka jana. Kama fanani ni wajibu wangu kujibu querry sijui spelling nimemapatia manake watu watu wa grammar mnanikalia mnoo kooni siku hizi kama ifwatavo!
1. Kweli sijaolewa, na wala siwezi kudanganya niliolewa ama vipi, hapanaaaa! Ila ile ni observation yangu kama LAY MAN au THIRD PARTY tu ambayo ni HAKI YANGU YA KIKATIBA UKIZINGATIA WE HAVW BEEN A FREE COUNTRY SINCE 9 DECEMBER 1961. Na neno langu sio sheria ama presidential decree ni mtazamo tu binafsi.
2. Kweli nimetahadharisha si wanandoa tu, bali BINADAMU KWA UJUMLA WETU kuwa maisha ni safari ndefuu sanaaa, ukicheka leo kesho huenda unune nanikaenda mbali sanaa kuwaomba bin adaam MUMUOMBE MUNGU AWAFANYIE WEPESI MIZIGO YENU na sio kuhukumu watu wengine na kuwasulubisha msalabani!
3. All in all sijaona ulipo dhibitisha PASIPO SHAKA YOYOTE kuwa MARRIAGE IS NOT A HYPOCRITICAL INSTITUTION! The hypocrisy inakuwa pale MNAPOJADILI HII TAASIS HAMUWEKI KARATA ZOTE MEZANI, MNAJADILI MAZURII TUUUUUU! Sio uugwana huo! Sawa wekeni mazuri na vibaya pia mseme?
4. Tabia ya kuchuna hahahahaaaaaa! COUNTING MY SINS DOES NOT MAKE YOU A SAINT!
Hitimisho!
TUWE TU WA WAZI UOLEWE, USIOLEWE, MAISHA YOTE NI CHANGAMOTO! Married people should be honest and stop window dressing of facts THAT THEY ARE THE HAPPIEST, LUCKIEST, AND BETTER THAN EVERYBOY HAVING A HEAVEN ON EARTH AND SINGLE OLD CARGOS LIKE ME SHOULD GO HUG A TRANSFOMER BECAUSE WE ARE PITYFULL! Hypocrisy at its highest!
IT ABOUT TIME WE PUT ALL THE CARDS ON THE TABLE!
Ha ha ha your third wife do u have money

Wewe mbona una maneno hayo?
Aliyetoa huo msemo ndio tatizo!
B
Ujui chuoni FURSA ya mwisho kupata mume kiurahisi mtaani demand ya wanaume kubwa supply undo imekwenda chini, kushindana awawezi wataishia mchepuko tu make ndyo inapatikana kiurahisi.
I own money.... money loves me.
B
Ujui chuoni FURSA ya mwisho kupata mume kiurahisi mtaani demand ya wanaume kubwa supply undo imekwenda chini, kushindana awawezi wataishia mchepuko tu make ndyo inapatikana kiurahisi.
Rafiki yangu kabisa ana miaka 38 sasa anampango wa kwenda kwa TB Joshua kuomba muujiza aolewe. Hapa kuna kujazana ujinga nyumba ya keyboard lakini kwenye maisha halisi ndoa ni muhimu sana, na katika maisha kuna changamoto zake!
umeona na wewe chauro eeh
Hahaaaa huu mtanange hapa mgumu ngoja niwaachie
Naona kaenda kukusanya nguvu anaweweseka kaanzisha kiuzi kamwe hawezi shinda kusudi la Mungu.
NDOA NA IHESHIMIWE NA WATU WOTE.
Yani kwa wadada ambao wamechelewa kuolewa au kukosa mchumba wanaona.mkosi kuhangaika kila mahali na wengne wameishia kuzaa na wanaume tofauti tofauti au kutoka na waume wa wenzao kipi bora sasa kutokuelewa uchepuke?
daah? Msameheni. Sidhani kama atarudi tena hapa mana mmemjazia page kama field repot