Majibu kwa Cyprian Musiba juu ya hoja zake kwa Lissu juu ya wanaoteswa na serikali ya awamu ya tano

MAJIBU KWA CYPRIAN MUSIBA ( kutoka kwa mtanzania wa kawaida )
1. umesema Tangu wakati wa Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete matatizo yalikuwepo, serikali Ya awamu Ya 5 HAIJAYALETA. . pia hukuwahi kusikia haya aliyosema LISU.
JIBU.
Ni kweli, Hata sisi hatukuwahi kuwa na WATU WASIOJULIKANA, wala hatukuwahi kuwa na wanasiasa na waandishi wanaotoweka na mwaka unaisha hakuna taarifa yoyote. . .

Lakini. . . hayo matatizo unayosema yalikuwepo ni yapi, Maana hujayataja, JE ni kupigwa risasi hadharani , au ni maiti kuokotwa, au ni viongozi wa dini kusingiziwa kuhusika na madawa Ya kulevya, au ni sadaka kukaguliwa, au ni matatizo yapi ?

2. Umesema wajibu mmojawapo wa lisu kama. mwanasiasa ni kutoa hoja NZURI zenye kuakisi umoja na mshikamano. Lakini Umesema tz watu wanajieleza vizuri kwa uhuru kama ambavyo Wewe unajieleza
JIBU
Ni hivi, kama Wewe unaona umepata uhuru wa kujieleza, kwa nini unaingilia uhuru Wake wa kujieleza kwa KUMPANGIA CHA KUSEMA? tulishakubaliana kuwa hatupangiani mambo, Sasa weye Nani kakupangia kumshtaki ? au kusema uliyosema ? kama hukupangiwa na Wewe usimpangie. . .

kuhusu umoja na mshikamano, Nadhani huwezi kushikamana na wasiojulikana, Mpaka wasiojulikana wajulikane ndipo huo mshikamano utaeleweka

3. Umesema Una taarifa Za lisu kutaka kuteta na katibu wa umoja wa ulaya kuhusu SIASA Za Tanzania. halafu umesema anataka kuishtaki tz kwa mambo Ya uongo. . . Kisha umeongezea kuwa wazungu hawatutakii mema, wanataka tupigane, na tuna gesi, uranium na mafuta.... watatumia mwanya huo kuja kutuibia rasilimali zetu.

JIBU
Umeshasema anataka kuzungumzia siasa Za TZ. Sasa SIASA hizo zina nini Mpaka uhisi unashtakiwa? chajishuku chanuka. . . umejuaje anashtaki ? Umesema atasema uongo, hivi umeanza lini unabii kusemea mawazo Ya watu kabla hawajasema ? mara Ya mwisho Kuna aliyenena unabii akakaa mahabusu miezi kadhaa. . .

Kuhusu wazungu kutokututakia mema, JE serikali yetu HAISHIRIKIANI NA WAZUNGU ? je, hakuna wazungu huku tz ? JE wazungu wanaokuja kutalii wanazuiliwa ? ni WAZUNGU gani unawazungumzia kwanza ? wa ulaya, wa marekani au wa Wapi ?

Kuhusu kuibiwa kwa rasilimali. . . Tangu tunaibiwa na bahati NZURI rais alituthibitishia kupitia tume aliyounda juzi kati. . . ina Maana wakati huo accacia wanaiba sisi tulikuwa tunapigana ? ama lisu alikuwa ameishtaki tz kwa wazungu ? aisee nimekushangaa Wewe mkaka !

Lakini pia Umesema kuwa nanyi mnapeleka barua The heague. . . hivi huko Kuna waafrika tu au nako wazungu wapo ? na kama mnahisi wazungu watamsikiliza Lisu Ili wanufaike na rasilimali zetu, kwa nini mnajisumbua kupeleka barua ambayo mnajua haitafanyiwa Kazi ? au mnamtishia na hilo jina?

4. Umesema taratibu Za kimahakama zimekamilika, mnampa siku 2 alete ushahidi na asipoleta mnafungua mashtaka, Ila pia Umesema mnasubiri ushahidi wa uthibitisho kwamba nchi Sio salama Ili mwendelee na " Kazi nyingine "

JIBU.
Kama umeshasema mmechunguza kwa makini na kutafakari, mkajiridhisha kwamba kauli Za lisu SI ZA KWELI ndio Maana mnakwenda mahakamani. . . naamini mna USHAHIDI KWAMBA NCHI NI SALAMA, Sasa kwa nini mnasubiri ushahidi Wake NJE YA MAHAKAMA ? au mnamtishia nyau ? Na kwa nini mnafikiri kwamba anaweza kuwa na ushahidi kuwa tz Sio mahali salama ? kwa sababu hakukuwa na haja Ya kumpa siku mbiliz a kuleta ushahidi ambao mnajua HAUPO ( kwa mujibu wa maelezo yenu )

Kusema ukweli umenisaidia sana kwa maelezo haya, kufahamu kwamba, Kuna ushahidi kwamba tz Sio salama, na mnahisi upo, mnataka awaletee ninyi mnaojiita " wananchi wa kawaida " na ambacho sijaelewa ni kuwa, Tangu lini, wananchi wa kawaida wanapokea ushahidi. . .

Ila. . mbaya zaidi ( sijajua uliongea bahati mbaya au vipi ) Umesema mnasubiri aulete mwendelee na " KAZI NYINGINE " Loooo ! Kazi nyingine ipi mkishapokea ushahidi wa tz isiyo salama ?
Lakini, Hebu tuachane na huu ushahidi wa TZ isiyo salama, je, Mbona hamzungimzii CCTV camera Za nyumbani kwake zenye ushahidi wa kilichotokea zilikopotelea ? kama Kuna wezi wanaiba CCTV camera, eneo linalolindwa na askari 24/ 7, usalama uko tz au kwa YESU ?

4. Umesema uthibitisho mmojawapo wa tz kuwa nchi salama kwa wanasiasa ni pamoja na Lowassa kwenda ikulu.

Kusema kweli nimeshtushwa sana na hii kauli. . nikajiuliza, kwa nini umehusisha usalama wa nchi na IKULU? Unataka kusema nini ambacho hatukijui? kwamba IKULU inahusikaje Yaani. . . sijaelewa kabisa. . .

Lakini ulichonichanganya kabisa ni kutaja majina Ya wakosoa serikali Tangu enzi na enzi hadi Sasa, Lakini hujamtaja Lowassa. Sasa kama Lowassa Si mkosoaji anaogopa nini kwenda " hom ? " Yaani umechanganya hizi Habari Ile mbaya Wewe mkaka. .

5. Umesema kauli Za lisu zimezungumzwa duniani kwa wiki nzima hivyo zimewapa hofu watalii na pia wananchi kufanya shughuli zao. Nadhani kwa hoja hii takwimu muhimu. . . tuambie watalii wangapi wameahirisha safari kipindi cha wiki Hiyo, na tupe takwimu Za watz ambao. hawakwenda kazini, wamefunga biashara na huduma kukosekana kwa kuwa lisu amewatishia.

MWISHO.
NAKUUNGA MKONO, NENDA MAHAKAMANI, HUENDA UKAWA MWANZO WA KUPATA MAJIBU TULIYOYASUBIRI KWA MUDA MREFU SASA. HASA KUHUSU WASIOJULIKANA. . .

Wasalaam
BIBI HAPPY J
Hahaha msiba bwana kayaanza mwenyewe vyeo vinatafutwa kwa speed ya 180
 
Ametufundisha namna ya kuwajua watu wasiojulikana Wameanza kuhahaha
 
Sijawahi Kuona Mjita asiyekua na Akili kama huyu jamaa Musiba, Anatudharilisha watu wa Majita. Ni Umbumbumbu wa Kiwango kikubwa sana
 
Ile element of surprise ya kwenda ubelgiji imewastua Sana. Watu wanaweweseka sana!
 
Amechanganyikiwa na kutimuliwa kibarua kwa muitaliano
 
Huyo Musiba ndiye nani??

Amejaribu kutest kiberiti na amegungua kuwa njiti zimejaa!

Ameshuhudia namna waTz walivyo na hasira za kumiminiwa risasi Mzalendo ni 1 nchini, Tundu Lissu na watu wasiojulikana
 
Kuna mtu huko facebook kasema walisoma nae o level hilo Jina sio lake, alifeli form four.
 
Back
Top Bottom