Ndg wanajf,
Nimesikitishwa na kitendo cha mbunge wangu mwigulu kuandika maneno ya uongo humu jf hivyo nimeamua kuja kukanusha na kuweka ukweli wa mambo juu mkutano wa Dkt Slaa uliofanyikia hapa kiomboi,
*MAHUDHURIO YA WATU:
watu waliojitokeza ni takribani 3502 hii ni kwa mujibu wa fomu za mahudhurio zilizopitishwa kwa watu walipokuwa wanajaza maoni ya juu ya rasimu ya katiba.
HAMASA:watu waliokuwepo hapo walikuwa na furaha kubwa hali iliyopelekea kutaka kumbeba juujuu katibu mkuu.
UWEPO WA MWIGULU MKUTANONI:
Ktk hali isiyo ya kawaida Mwigulu nae alifika mkutanoni akiwa ndani ya RAV 4 ya kada maarufu wa ccm Bw.Msamaria
Pia dereva na mpiga picha wa mwigulu nao walikuwepo.
WANAIRAMBA WAMLAANI MWIGULU
Wanairamba wamemlaani mwigulu kutumia mil 10 kuileta simba wakati barabara ya kuelekea hospitali na mbovu,maji hakuna,wanafunzi wanakaa chini,shule ya kisana na nyingine ya new kiomboi zikiwa hatarini kufungwa kwa ukosefu wa madarasa.
MPIRA UMEANZA BAADA YA DE NEXT PREZDA KUONDOKA,,