KERO Maji yamekuwa adimu huku kwetu Kimara kuanzia Kibo, Baruti, Korogwe

KERO Maji yamekuwa adimu huku kwetu Kimara kuanzia Kibo, Baruti, Korogwe

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Whitesmith

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2017
Posts
454
Reaction score
635
Habari ya leo wanajamvi.

Wadau maji yamekuwa adimu huku kwetu Kimara kuanzia kibo, Baruti, Korogwe

Mnaweza kuongezea maeneo mengine.
 
Back
Top Bottom