changamoto ya maji dar es salaam

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tatizo la kukosekana kwa maji katika maeneo ya Dar Es Salaam (hasa Changanyikeni)

    Mbali na mvua zinazoendela kunyesha kwa wingi,maeneo mengi ya Dar es Salaam mfano Changanyikeni (Chuo cha Takwimu, maeneo ya Kanisa Katoliki, Jeshini), Sinza na Kimara hayana maji kwa wiki ya pili sasa na hakuna taarifa yoyote kutoka kwa mamlaka zinazohusika. Maji yanayouzwa yanapatikana kwa...
  2. PAYE

    JamiiForums Tanzania Jumaa Aweso: Changamoto ya maji Dar ni kipindi cha mpito

    Waziri wa Maji, Jumaa Aweso, amewatoa hofu wananchi wa Dar es Salaam kuhusu upatikanaji wa huduma ya maji, akisema kuwa jitihada mbalimbali zinaendelea ili kuhakikisha huduma hiyo inaimarika. Aidha, Aweso ameielekeza Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kuanza mara...
  3. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania KERO Hii ni Dar na hawa ni wananchi wa Ubungo wakichota maji katika chemchem ya mto Gide

    Hii ni 2025 na hili ni jiji namba moja Tanzania ambalo tunajivunia ila wananchi wake bado wanatumia maji ya chemi Chemi, yaani mwaka 2025 bado tupo primitive stage na hapa ni jijini Dar es salaam, sasa mikoa jirani hali ikoje. _________ Wakazi wa Ubungo Riverside Mkoa wa Dar es Salaam wakiwa...
  4. chakii

    JamiiForums Tanzania KERO Inaingia wiki ya tatu sasa wakazi wa Kimara hawajui kitu kinachoitwa maji Meneja wa DAWASA kazi imekushinda, ondoka ofisini

    Inaingia wiki ya tatu sasa wakazi wa Kimara hawajui kitu kinachoitwa maji , na wala hamna taarifa wala maelezo yoyote ambayo yanatolewa na mamlaka husika. Meneja umetulia ofisini una sign posho na kupokea mshahara bila kufanya kazi, maana ni kazi gani hiyo ambayo unafanya wakati wananchi...
  5. W

    JamiiForums Tanzania KERO Maji yamekuwa adimu huku kwetu Kimara kuanzia Kibo, Baruti, Korogwe

    Habari ya leo wanajamvi. Wadau maji yamekuwa adimu huku kwetu Kimara kuanzia kibo, Baruti, Korogwe Mnaweza kuongezea maeneo mengine.
  6. N

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Mtaa wa Kanuni – Mabibo hatuna huduma ya maji, huu mwezi wa pili

    Sisi Wakazi wa Kata ya Mabibo, Mtaa wa Kanuni hapa Dar es Salaam tuna changamoto ya kutokuwa na huduma ya maji kwa muda wa miezi miwili sasa. Maji hayatoki kabisa huku kwetu na siku yakitoka ni ndani ya nusu saa au saa moja, kwa ufupi yakitoka hayawezi kuendelea muda mrefu yanakatika tena...
Back
Top Bottom