Maji yamefika shingoni naombeni ushauri wenu..

Maji yamefika shingoni naombeni ushauri wenu..

prince john john

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2016
Posts
2,330
Reaction score
3,726
Habari zenu ndugu zangu.. Nina rafiki wa Karibu mwanaume mwenzangu na tupo wote Chuo kimoja aliniomba ushauri na me nikaona isiwe vibaya kuja huku JF coz Naamini kuna watu wenye hekima na busara na wanaweza kumsidia huyu rafiki yangu..

Rafiki yangu anampenzi wake na wamedumu kwa miaka miwili sasa,huyo Dada ni mwajiliwa na huwa wanakutana kuvunja amri haizidi Mara moja kwa mwezi (na me huwa namwonaga hivyo akina naye pale tunapoishi) jamaa yangu ameniambia anampenda sana yule Dada lakini huwa anatamani wasiwe wanakutana mpaka ndoa.. Na Dada huyu hataki anataka wawe wanakutana Mara moja hivi hivi au zaidi na jamaa kweli huwa nafsi yake inamuuma juu ya hii dhambi..
Amesha mueleza mara kadhaa huyu dada lakini huyu Dada bado ameshikilia msimamo wake wa angalau mara moja kwa mwezi..
Anaomba ushauri ndugu zangu afanyeje na dhambi hii inamuumiza akili na bado anampenda huyu Dada na anampango nae wa kufunga ndoa hapo baadae...

NB:huyu rafiki yangu huyu ndiye msichana wake wa kwanza lakini huyu Dada huyu ni mvulana wake wa pili
 
1. Amuoe sasa
2. Wote kwa pamoja wapate huduma na ushauri wa kiroho ili waache
 
kama sijakosea sana, gharama ya harusi yangu haikuzidi laki tano...baada ya kuoa rizki zilifunguka mpaka nashangaa, leo nina miaka mi3 ndani ya ndoa mambo mengi yamekuwa mepesi na hata akili imefunguka zaidi, kuna mambo ukiwa nje ya ndoa huwezi kuyaona jombaa, sasa kama jamaa yako anasubiri apate milioni 20 ndio aowe, huyo mwanamke atamuacha sababu huyo mwanamke mashine..kila la kheri
 
Umri wake Hujafika hata miaka 23 mkuu ndiyo kwanza yupo mwaka wa pili degree ndugu yangu anategemea boom kuishi na kulipa ada angalau huyo girl wake ameajiriwa
 
Wote waanze kwenda nyumba za, ibada na hofu ya Mungu itaongezeka na kukimbia dhambi hiyo.

NB: Inaonekana jamaa yako ni muudhuliaji mzuri kwenye nyumba za ibada ubarikiwe sana mkuu
 
Wote waanze kwenda nyumba za, ibada na hofu ya Mungu itaongezeka na kukimbia dhambi hiyo.

NB: Inaonekana jamaa yako ni muudhuliaji mzuri kwenye nyumba za ibada ubarikiwe sana mkuu
Umeongea ukweli mtupu ndugu yangu na huyo Dada pia na yeye ni muhudhuriaji mzuri na tatizo lao ndilo hilo tu mkuu.. Ushauri jinsi ya kuepuka hiyo kitu ndilo ninalohangaikia apa
 
wanafunzi bwana huyu ndo wa kwanza kusikia hapendi ngono, tena mtoto wa kiume
 
  • Thanks
Reactions: ABJ
wanafunzi bwana huyu ndo wa kwanza kusikia hapendi ngono, tena mtoto wa kiume
Malezi mkuu na wamelelewa wakaleleka.. Naamini hata wako atakuwa kuwa Hivi ukimweka Karibu na yeye akamsogelea Mungu
 
Back
Top Bottom