Kama kweli huyu kijana hapendi kufanya dhambi, basi abadilishe mazingira ya wao kuwa peke yao. Na asimpe huyu dada muda wa kuzungumzia mapenzi au kufanyana. Kama wote ni waumini wazuri wazungumze mambo ya ibadani na mipango yao ya mbeleni. Wasiruhusu mazingira ya dhambi.