kampuni ya ndanda pure spring water ya mkoani mtwara imefungiwa kwa mda usiojulikana. Hii ni kutokana na kubainika kuwa maji yake yaliyopo sokoni hv sasa ni machafu. Akiongea na radio pride ya mjini hapa, afisa afya wa mkoa amesema sampo ya maji hayo imepelekwa dsm mamlaka yachakula na dawa ili yafanyiwe uchunguzi kuona km uchafu huo una athari zpi kwa mlaji na kwamba tayari ameshapeleka barua kwenye kampuni hyo kusimamisha shughuli za kiwanda hcho. Source Amka Na Pride Fm