Chimunguru
JF-Expert Member
- May 3, 2009
- 10,678
- 4,379
Dah Yale maji ya Africa yalikuwa matamu amanuensisamanuensis
Makonde Plateu kama ckoseiYale maji ni mazuri ever in tz,alafu yana nembo ya Tbs tangu kiwanda kianze uzalishaji.,ubora huo ulitokea wapi.
Mbali na mengi,nahisi na jamaa wa pride mtwara nao wanahusika ktk fitina kwani ni mmoja wa share holders wa kiwanda kingine cha maji(brand name nimesahau)
Fitina tu hizo, hakuna lolote, hakuna maji matamu kama NDANDA!
Hawa mapapa wakubali kushindana..maji ya Ndanda yako poa sana kuliko kilimanjaro na the so called Uhai. Wapambane bila fitna
Ni kweli Easymutant. Pale Mtwara maji yanachumvichumvi. Ni ndanda pekee kwa asilimia kubwa ndo kuna maji ambayo huwezi kuona ladha ya chumvi kwa mbali. Sifa za odourless, colourless,tuberdity value na sifa zote za maji ikiwemo ph value nadhani vilikudhiHawa mapapa wakubali kushindana..maji ya Ndanda yako poa sana kuliko kilimanjaro na the so called Uhai. Wapambane bila fitna
Watz acheni uvivu wa kufikiri, BWANA AFYA ni mtaalam maamuzi yake yasibezweUSISHANGAE kukuta hata huyo bwana afya ametumika kwa ujinga tu.mimi nisipo kunywa NDANDA SPRING WATER silali.nahisi kuna kitu kinaendelea kwani hata kabla ya tangazo la leo tayari kuna baadhi ya baa walikuwa wameshaanza kuuza maji ya kutoka Dar.
Wanasema ukiua kwa upanga na wewe utauwa kwa upanga. Hizi fitina walinyiwa kampuni inayotoa Maji Afrika Iringa, na katika kipindi cha wiki moja toka maji Afrika kuwa machafu ndipo wakazi wa Iringa tuliposhuhudia brand mpya ya maji yaitwayo Ndanda. Sina uthibitisho kuwa Ndanda ndio walioifanyia fitina Maji afrika ila uingizwaji kwa wingi wa Ndanda water katika kipindi kifupi tu kunaweza kutufumbua macho.
Huku mtaani hapa Dar kuna mini supermarket huwa lazima nichukue chupa zangu tatu. Ndanda maji baridi kutoka kwenye chemchem. Chemchem ile ina maji baridi ambayo hata ukiyachota bila kuprocess ni masafi. Ushahidi huu nilijionea mwenyewe miaka ile ya tisini mwanzon, tulitembelea Ndanda Springs tukitokea shuleni Mtwara Tech, tukajionea process ya kuua bacteria kwa mionzi maalum kwa wakati ule, sina hakika kwa wakatu huu.
yana utamu gani? unafahamu ubora wa maji?
unazijua sifa za maji?
tasteless
colourless
hata hayatakiwi kuwa na harufu!
utamu wa maji ni upi?
Watz acheni uvivu wa kufikiri, BWANA AFYA ni mtaalam maamuzi yake yasibezwe
hizi ni fitna za biashara za akina bakhresa,walianza kuyafanyia fitna yasifike dar,haya maji yanapatikana mwisho rufiji tu,ni maji pure na mazuri sana,yakiingia sokoni dar wakina uhai na kilimanjaro kwisha habari yao...
Kwa kweli maji ya ndanda ni matamu na hayana mfano!!
Fitna tuu za wafanyabiashara
kwa kawaida maji huwa hayana ladha wewe. Matamu yamewekwa sukari?
Siyo bure, lazima utakuwa na lako jambo wewe! pole sana kijana.