Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,957
Mkuu umenena ukweli mtupu!Mkuu MM picha yako inajieleza vizuri saa kuwa shida hapo na tatizo lipo sana tena kubwa
Theh teh teh!why not?kumbe ndege wana akili ya kujua hili ni bomba aiseeeeeeee
Uchoyo kivipi mkuu?Hatari vita ya maji au ni uchoyo tu wa baadhi ya viumbe?
Theh teh teh!why not?
[h=2]Re: MAJI YA MGAO HATA KWA NDEGE JAMANi???????????[/h]vp kaka
Mkuu hayu ndege anajua mazingira vizuri anayoishi,siku za nyuma alishawahi kuona maji yakitoka katika bomba lile,ndiyo maana aliamua kwenda kuyasaka hayo maji akiamini angeyakuta!duhhhhh mi najuaga wanaonaga vidimbwi tu
Huo utakuwa mwisho wa dunia!Duh watakuja kuandamana
Mkuu hayu ndege anajua mazingira vizuri anayoishi,siku za nyuma alishawahi kuona maji yakitoka katika bomba lile,ndiyo maana aliamua kwenda kuyasaka hayo maji akiamini angeyakuta!
Precisely mkuu!Shida hapo ni kwamba kashindwa kufungua bomba kwa kukosa utaalamu. Sawa kabisa na sisi wenyewe tunavyoshindwa kutumia resource nyingi tulizonazo kwa kukosa pia utaalamu.
Teh teh teh!seeing is believing!kwani ulikuwa aujui