kumbe Hill hivi sasa ubora wake umeshuka? King Kong IIIYeah Uhai yapo vizuri sana ,Hill wanaboronga sana ,maji hayapo njema kama mwanzo.
kumbe Hill hivi sasa ubora wake umeshuka? King Kong IIIYeah Uhai yapo vizuri sana ,Hill wanaboronga sana ,maji hayapo njema kama mwanzo.
kumbe Hill hivi sasa ubora wake umeshuka? King Kong III
ila Buyegi bei yake ndefu sana.Dew drop, Buyegi na Hill. Kilimanjaro kwa kweli sio kama zamani. Nlidhani ni mimi mwenyewe aisee
Isije kuwa una mimbaMwanzo nilizani ni kitu ingine ila kufanya uchunguzi ni maji yenu yananuka na yanaleta ladha chungu na siku hizi natapika