Mimi naona ni mwaka sasa
Hasa kipindi cha mvua ndo uchafu balaa
Unaoga ghafla unashangaa unaukurutuu muwasho balaa sasa kule idara nyeti ndo patakuwaje unapojitawaza.
Si kweli mikoani tunapata maji yasiyo na tope, kama kuna mkoa wanapata maji ya tope meneja atakuwa katoka Dawasco kahamishiwa huko mkoaniSiyo huko tu.
Ni tatizo la Tanzania nzima



Mwambie mkuu, mwambie watu tumechezea vifuu na maji hayohayo ya tope na sasa tuna wajukuu maji ni yale yale, hawakukunjwa mapema wamezoa sasa ukilaum ni Sawa na unawaonea maana wamerithishwa na waliotangulia na wao wanaendelea kujiridhisha uozo wa Uongozi. Huu mkoa ninaoishi sasa maji hayana tope kabisamimi nilishasahau kama ni tatizo
Nimestuka sana kuona thread yako.
Tunajionea sawaa tu!
Hapana kwa upande wangu wakati nakua nimekunywa maji ya bomba unakuta ukitoka mpirani unakinga mdomo bombani. Maji yalikuwa yananuka dawa muda wote.Mwambie mkuu, mwambie watu tumechezea vifuu na maji hayohayo ya tope na sasa tuna wajukuu maji ni yale yale, hawakukunjwa mapema wamezoa sasa ukilaum ni Sawa na unawaonea maana wamerithishwa na waliotangulia na wao wanaendelea kujiridhisha uozo wa Uongozi. Huu mkoa ninaoishi sasa maji hayana tope kabisa
*DAWASASi kweli mikoani tunapata maji yasiyo na tope, kama kuna mkoa wanapata maji ya tope meneja atakuwa katoka Dawasco kahamishiwa huko mkoani![]()
Hahahaha DAWASCO BwanaSi kweli mikoani tunapata maji yasiyo na tope, kama kuna mkoa wanapata maji ya tope meneja atakuwa katoka Dawasco kahamishiwa huko mkoani![]()
Bora hukoMwanza hakuna mjomba
Sikubishii mkuu Dar kubwaHapana kwa upande wangu wakati nakua nimekunywa maji ya bomba unakuta ukitoka mpirani unakinga mdomo bombani. Maji yalikuwa yananuka dawa muda wote.
Wanaume wa Dar kwa kulalamika hamjambo, njoeni huku mashambani mjionee , maji anakunywa ngombe , anajisaidia humohumo na binadam nae anakunywa hayohayo na hatulalamikiMaji ya bomba kwa sisi wakazi wa Tabata, Kimara na Ubungo tunapata maji yaliyo na rangi ya udongo. Hili tatizo nimeliona kwa zaidi ya miezi sita sasa.
Wakati mwingine ukiyahifadhi uchafu unajitenga chini.
Hii ni hatari.