Maji ya bure kwa taasisi za kidini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maji ya bure kwa taasisi za kidini

Discussion in 'Jamii Intelligence' started by Ami, Jul 17, 2011.

 1. Ami

  Ami JF-Expert Member

  #1
  Jul 17, 2011
  Joined: Apr 29, 2010
  Messages: 1,858
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Nchi imefikia pabaya kuhusiana na mgao wa umeme.Uchumi unaporomoka kwa kasi.Ukijiuliza maswali utashindwa kupata jibu huku ukijua kwamba Tanzania ina vyanzo vingi vya maji.Bado nchi inakumbwa na ukaukaji wa maji kuliko hata nchi zilizo jangwani.
  Kwa watu wenye akili hawapaswi kuendelea kulalamika tu na kushutumiana kwa jambo ambalo haliko kwenye uwezo wa watanzania na wala si utaalamu pekee wenye kuweza kutatua mkwamo huu.
  Kwa upande wangu napendekeza maji yatolewe sadaka kwa ajili ya mambo ya kiibada.Misikiti na makanisa yapatiwe maji ya bure ili waumini wayatumie kwa shughuli zinazohitaji maji kwenye majengo hayo.
  Kwa kuanzia ifanyike tathmini ya idadi ya matumizi ya maji ya kila muumini anayetumia majengo hayo.Baada kupatikana takwmu idara husika zitoe kiwango kulingana na takwimu hizo.Usomaji mita ufanyike kama kawaida na pindi kiwango kikivukwa basi malipo yafanyike kutokana na ziada hiyo.
  Kinyume chake maji kwa viwanda kama vya pombe yalipiwe mara 100.Na hata wakitaka kuchimba kisima maji yatakayopatikana yalipiwe sawa na yale yanayotolewa na mamlaka za maji.
   
 2. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #2
  Jul 20, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Kama hakuna maji ruksa kutumia mchanga
   
 3. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #3
  Jul 20, 2011
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Hivi unajua gharama ya maji ni sh ngapi?Na kwa nini hao waumini wa dini wapewe bure?na wale wasio na dini rasmi nao wakidai je utawapa nchi nzima maji ya bure? Na hivi huyo ni Mungu gani anataka watu wawe wavivu na wazembe washindwe hata kulipia hayo maji wanywe bure?Na tena kwani hela za sadaka zinafanya kazi gani?
  Kumbuka hakuna kitu cha bure duniani.Hata ukiambiwa ni bure sio kweli,kuna gharama nyuma yake indirect wewe huijui.
  Au pengine kuna maji ya aina nyingine unayazungumzia wewe mm siyajui na ukizingatia hili ni jukwaa la inteligence............fafanua plzz.
   
 4. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #4
  Jul 20, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Mkuu AMI-hapa hapana-kwa sababu kuna watu wameshazoea kulalamika sana na kupenda vya bure-sasa kama unasema maji yawe bure-ila mtu akizidisha kiwango ndio achajiwe-hii italeta malalamiko makubwa sana kwa walewale wanaopenda vya bure-kwa sababu naamin kama taasisi za dini zilivyo tofauti-ndivyo mataumizi ya maji yalivyo tofauti-wengine hata wakimwagilia bustani zao kwa wiki-lita za maji wanazotumia haziwez zidi lita za maji linazotumiwa na taasisi nyingine per day-hii inaweza pelekea taasisi fulan wasililipe kabsa bili za maji na taasisi nyingine walipishe kwa sababu ya overuse-ambapo hapo watajitokeza watu tena na kulalamika-TUNAONEWA-
   
 5. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #5
  Jul 20, 2011
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280
  Heshima kwako Ami.

  ndugu yangu CHADEMA waliandamana sehemu mbali mbali hapa Tanzania moja ya madai yao makubwa ni kupanda kwa gharama za maisha huku serekali ya Kikwete ikiendelea na mchezo wa kulea mafisadi.Serekali imeshindwa kuchukua hatua madhubuti za kuokoa uchumi eg kuzuia mgao wa umeme,kufuta mikataba mibaya ya uchimbaji wa madini ya dhahabu,Matumizi mabaya ya fedha za serekali na nk.CHADEMA kama chama kikuu cha upinzani kilipaza sauti lakini kwa mshangao wa wengi Sheikh Mkuu Mufti Simba akaamua kuweka akili pembeni akayalaani maandamano ya CHADEMA na kuwahimiza waumini wa dini ya kiIslam wasishiriki !.Leo bila aibu unataka maji ya misikitini yasilipiwe [ruzuku ya serakali] eti maji ya viwanda vya pombe yalipiwe mara 100 zaidi ?.Hii ni faida ya unafiki ambao mmekuwa mkiuonyesha muda mrefu tangu serekali ya Kikwete iingie madarakani kisa muIslamu mwenzetu ?.Ruksa tumieni mchanga kama maji hakuna njia mbadala ipo.   
 6. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #6
  Jul 20, 2011
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,380
  Likes Received: 3,340
  Trophy Points: 280
  Ami bana..sometimes yes..sometimes no
   
 7. Ami

  Ami JF-Expert Member

  #7
  Jul 21, 2011
  Joined: Apr 29, 2010
  Messages: 1,858
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Sikiliza bwana!.
  Hii mada inafaa kwenye hili jukwaa kwani juhudi za kawaida mpaka sasa zimeshindwa kuondosha tatizo la umeme.Inteligence kwa maana zote inafaa itumike sasa kuondosha tatizo.
  Achana na hisia zote,angalia ukweli kwamba Mungu yupo na ndiye muweza kwa yale binadamu waliyoshindwa nayo.Uamuzi wa kuyatoa maji sadaka ni katika namna ya kumuomba atuongezee baraka ya maji kwenye mabwawa ili tupate umeme.
  Unasema hela za sadaka!,zitatoka wapi ikiwa kila mtu yuko taabani kwa njaa kutokana na uchumi kuporomoka kutokana na kukosa umeme?.
   
 8. h

  hargeisa JF-Expert Member

  #8
  Feb 5, 2013
  Joined: Jun 19, 2011
  Messages: 551
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  WENZETU WAMEZOEA KUCHAMBA KWA MAGUNZI NA MABOX THAMANI YA MAJI HAWAJUI .PIA JANABA WANAINGIA KUFANYA IBADA NA ILE DAMU YA KINA MAMA BILA YA KUOSHA WAO NI TWENDE KAZI POTE IBADANI KITANDANI KOTE SWA USTAAARABU WA MAJI UPO MBALI NA WAO
  [​IMG][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG]:target::target::target::target::target::target:
   
Loading...