Otorong'ong'o
Platinum Member
- Aug 17, 2011
- 39,183
- 28,841
Hili jukwaa lina mambo khaa....!!
Kwa imani niliyonayo!!! suppose anakuwa kipofu kwa maombi yangu si mtanikimbia hapa JF kwa usumbufu
Gwajima keshamharibu.
Pia chunguza kama ameanza kwenda kusali haya makanisa ya `kiokovu`, huko pia wanaribiwa sana kwa kuaminishwa vitu visivyokuwa na maana.
Haya ndio matatizo mengine ya kutaka msaada JF. unaweza ukazimia wasipotokea watu wenye kuelewa kutatua matatatizo
Mkeo akuamini Tu, licha ya kuwa hata wewe mwenyewe hujiamini. Anza kusafiri nae mkacheze mechi ulaya
maji hayo yanatoka wapi....?Nini Tena Mkuu. si uniaambie mbona unaniacha hewani.
Mkeo akuamini Tu, licha ya kuwa hata wewe mwenyewe hujiamini. Anza kusafiri nae mkacheze mechi ulaya
Huyo ana cheat big time kwako.
Hapo anapotezea usifuatilie.