Maji Ya Baraka/Uzima - (Mke Wangu Niamini Tu)

^^
Umenena kweli !! Watu wa aina yangu ni tatizo ndani ya JF ombi letu mtuvumilie kama tunavyowavumilia nyinyi kwa kuleta maelezo ya upande mmoja ili tuhalalishe tabia zisizopendeza ktk jamii.
Jungu la mama laweza kuwa kuu lakini ukoko wa pembeni ukakusaidia kuziba robo ya njaa.
Nivumilie
Mwenyeminazi
^^
Nitakuvumilia usijali mkuu
 
hamna watu wanaoshaurika otherwise kama wanawake, huyo atakuwa kashashauriwa na wenzie but ni njema kwako ili uwe mwaminifu kwa lazima
 
Back
Top Bottom