Mbona hiyo ni kawaida bro. Mwanaume akifikia kilele huwa anachuruzisha maji huko kwenye huo mto Ruvu, pamoja na huyo Anna wako nae akifikia kilele kutokana na mbwembwe unazomfanyia nae anaongeza maji mtoni. Ndio starehe yenyewe hiyo kaka, huo Sio ugonjwa. kumbuka hayo maji yanasababishwa na mbwembwe zako pia husaidia kulainisha huo mto ili usiwe na michubuko.