Hivi hata hao wateja wanaokwenda kwa mganga wa kienyeji mjinga kama huyu, wana akili sawasawa kweli! Yaani lijamaa linaonekana kabisa halimchekea Vicent Nyerere linamwangalia na kumchekea Mbunge Mtarajiwa, halafu linasema hapo lilikuwa linatishiwa kuchomwa moto! Halafu kwa mtu mwenye akili za kawaida, angekwenda kulishitaki gazeti lililompiga picha na kuitoa wakati yeye alijua anafanya Usaliti kwa siri badala ya kutaka kupeleka mashitaka ya kijinga mahakamani as if mahakama hazina kesi za kufanya na kuwapelekea madudu ambayo hata mtoto mdogo angeweza kuihukumu kesi hiyo!