Maji Maji juu ya Friji.

Maji Maji juu ya Friji.

Itoye

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2017
Posts
531
Reaction score
1,026
Wakuu Salaam,

Kuna kitu nimeona kinatokea ambacho hapo awali hakikuwepo.

Nina friji yangu nyumbani siku za hivi karibuni imeanza kutoa maji maji sehemu ya juu kwa nje, nimejaribu kuichunguza kama imetoboka sehemu sijaona.

Kwa mwenye ufahamu juu ya kitu kinachosababisha hali hii au ameshakutana na changamoto hii naomba ushauri, lkn pia na solution ya hili tatizo ni ipi.

Asante, nimeambatanisha na picha.
IMG_20190520_150508.jpeg
 
Wakuu Salaam,

Kuna kitu nimeona kinatokea ambacho hapo awali hakikuwepo.

Nina friji yangu nyumbani siku za hivi karibuni imeanza kutoa maji maji sehemu ya juu kwa nje, nimejaribu kuichunguza kama imetoboka sehemu sijaona.

Kwa mwenye ufahamu juu ya kitu kinachosababisha hali hii au ameshakutana na changamoto hii naomba ushauri, lkn pia na solution ya hili tatizo ni ipi.

Asante, nimeambatanisha na picha.View attachment 1104391
mkuu hata mm nilizani bati limetoboka so maji yanatoka juu sababu ya mvua ila nmechunguza sijaona
 
Hapo juu panapokuwa na maji, panakuwa na baridi?
 
Hiyo ni condensation mkuu, hata kwangu pia hutokea japo si mara kwa mara
 
Hiyo ni condensation mkuu, hata kwangu pia hutokea japo si mara kwa mara
Sasa yeye anasema hakuna baridi. Kama ni condensation lazima kutakuwa na baridi kiliko joto la mazingira ya hapo. Labda sasa achunguze kwa makini kama hakuna baridi kweli
 
Hapana, hakuna ubaridi ni hayo maji maji tu
Hapo ni pagumu. Kama hapana ubaridi basi angalia kama kuna chemikali yoyote imemwagika hapo kwani kuna baadhi ya chemical zinaleta maji kama vile chumvi
 
Back
Top Bottom