Maji kwa wakazi wa Kimara Stopover kwa Kapinga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maji kwa wakazi wa Kimara Stopover kwa Kapinga

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Hammer, Oct 13, 2010.

 1. H

  Hammer Member

  #1
  Oct 13, 2010
  Joined: Oct 13, 2010
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  :alien: Inasikitisha sanaaa tena inauma kuona watu wachache tu katika nchi hii ndo wanafaidi raslimali za nchi hii wkati wengine wanagugumia kwa maumivu. DAWASCO wamepania kumfanya mgombea wa CCM Jimbo la Ubungo akose kura. Na kweli hatopata maana wananchi wanahasira kweli kuona miaka yote wanapata taabu ya maji Kimara wakati kuna tenki kubwa sana la maji na mabomba yote yanapita hapo kwenda kwa wakubwa Oysterbay na kwingineko. Safari hii CCM wataiona hasira ya wananchi wa Kimara
   
 2. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #2
  Oct 13, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Mkuu yameanza kutoka ya Wachina toka wafunge juzi ndo yametoka ndo gia ya kuombea kura.
   
 3. Mpambalyoto

  Mpambalyoto JF-Expert Member

  #3
  Oct 13, 2010
  Joined: Mar 26, 2010
  Messages: 752
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ...too late to catch the train...
   
 4. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #4
  Oct 13, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Alafu DSM ndo commercial hub ya Tz and still watu hao hao wataipigia kura CCM
   
 5. Kiraka

  Kiraka JF-Expert Member

  #5
  Oct 13, 2010
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 2,551
  Likes Received: 613
  Trophy Points: 280
  Kuna ndugu yangu anaishi Mbezi Mwisho, Mji Mpya...anasema huko ni shida tupu ya maji hakuna bomba la Mchina wala nini ni kununua tu..
  Hamna bara bara wala nini, kwanini waipigie kura Chi Chi EM?
  Hiyo ni sehemu tu ndogo ya Dar Es Salaam, Mji mkubwa wa kibiashara, then Tanzania wise inakuwaje?
   
 6. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #6
  Oct 13, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,485
  Likes Received: 5,721
  Trophy Points: 280
  We kila mmoja angekuwa ikulu pangekalika///tafuta channel bosi huku upati msaada au pangisa amia sinza ama sehemu zingine kunakotiririka maji only soln
   
 7. m

  mbea Member

  #7
  Oct 13, 2010
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 97
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapo ni kumpa kura Julius Itatiro arekebishe mambo!
   
 8. Mpambalyoto

  Mpambalyoto JF-Expert Member

  #8
  Oct 13, 2010
  Joined: Mar 26, 2010
  Messages: 752
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  aiseeee
   
 9. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #9
  Oct 13, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Huyu anajulikana Manzese maeneo ya Malamba mawili huko Gorani hawamjui
   
 10. queenkami

  queenkami JF-Expert Member

  #10
  Oct 13, 2010
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  huko maramba mawili kuna kila aina ya shida,maji barabara no umeme yaani akitokea wa kuwapatia haya angewakomboa sana.
   
 11. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #11
  Oct 13, 2010
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,584
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Mimi naishi Kipunguni Ukonga. Watoto wanahadithiwa tu kwamba eti duniani kuna maji eti ya NUWA au sijiu DAWASCO. Wanajua visima vifupi au kwa waliojaliwa borehole za watu binafsi.
   
 12. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #12
  Oct 14, 2010
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  tuko pamoja mkuu kwetu ss ni visima kwa kwenda mbele
   
Loading...