Majeshi yetu

Majeshi yetu

Hapana MP sio cheo mkuu ni kitengo ndani ya jeshi (MP:Military Police) kazi yao ni kusimamia nidhamu ndani ya jeshi..cheo cha chini ni PRIVATE hivyo MP anaweza kuwa wa cheo chochote kile endapo atakuwa amepata mafunzo ya MP.
Ok sawa asante kwa ufafanuzi na hii WP je inaelekea nachanganya mambo
 
Wewe jamaa hujui kitu,,,,,,,majeshi yetu na yaliyopo kwenye katiba, sheria ni jwtz, Jkt, polisi, Magereza, zimamoto,na uhamiaji imeonyeshwa kama idara sio jeshi,,,,,,,, nimekushangaa pia uliposema fire ni idara ndani ya polisi, sio kweli toka 2012 fire iliidhinishwa rasmi kuwa jeshi, chini ya commandment 1 na kuhamishiwa wizara ya mambo ya ndani bz zamani walikua tamisei
Ni kweli kabisa sijui ndio maana nimeamsha mjadala ili wanufaika tuwe wengi..lakini katikati ya ujuzi wako angalia nawe usijekuwa unapotosha
 
Yakhe kwetu kuna KMKM na Valantia mbona hukuyataja....Hee Wafanza mambo gani weye?
 
Ok sawa asante kwa ufafanuzi na hii WP je inaelekea nachanganya mambo
WP ni women police, ambapo kwa polisi force number zao zinaanza na p kwa mwanaume na wp kwa askari wa kike jeshin wao askari Anatumia MT(mlinzi wa Taifa) kwa mwanaume na MTM(mlinzi wa Taifa Mwanamke) huku ma ofisa wa jeshi namba zikianza na P kwa mwanaume na PW kwa mwanamke
 
Noted with appreciations
 
Back
Top Bottom