Wewe ni mpuuzi sana kilichotokea Zanzibar na Gambia tofauti ni IPI?Huyo jamaa.bado.hajakamatwa tuu??
Alicheza.karata zake vibaya sana naisi atakuwa amekimbia bila.shaka..
Ila wabongo bhana kuna.hapo juu unasema anatamani Ecowas waje hata huku??
Waje kufanya nn?? Hata hivyo hakuna mgombea ambayo tume imetangaza kashindwa alafu yeye kakatalia madarakani
Mjue tofaut hiyoo,mkuruzinza na mseven sanduka la kura walishinda
Tatizo la tz ni tume ya uchaguzi
Sasa mnao laam jesh,nakusema mkuu wa majesh wa gambia ni mfano nasio wa huku kwan kuna nchi EAST imekumbwa na balsa kama gambia??
Huyo rais wa gambia alibugi
Kama angejua toka awali angecheza kiccm zaid kuweka sawa tume ya uchaguzi upande nk
Kujiamin kupita kiasi ndio kumemponza
Ndio nani huyo Mkuu?Wakimaliza huko waje na huku kwetu kumtoa nkurunzinza wa bongo.
Yule Jamaa wa Upande ule mwengineNdio nani huyo Mkuu?
Kichekesho zaidi ni aina viongozi tunaotaka wawe mbadala, yaani utoe serikali ya Magufuli uweke serikali ya Lowasa,Mbowe, Kingunge na Sumaye eti ndio wawe mbadala.Siasa za bongo zimewaharibu watu uwezo wa kufikiri,yani mtu anatamani hadi vita et kisa tu ccm.
Ah we achana tu mkuu,ndiyo maana wengine tumekaa pembeni tunaangalia tu.Kichekesho zaidi ni aina viongozi tunaotaka wawe mbadala, yaani utoe serikali ya Magufuli uweke serikali ya Lowasa,Mbowe, Kingunge na Sumaye eti ndio wawe mbadala.
Gambia tume ya uchaguzi ilitangaza mshindi,zanzibar tume ya uchauguzi ilighairi matokeoWewe ni mpuuzi sana kilichotokea Zanzibar na Gambia tofauti ni IPI?
Senegal - wa MandikaHivi ni senegal tuu ama ni washirika wa Ecowas
Utafauti wa znz na gambia ni upiKwan unaona hiyo ni sawa na kinachotokea GAMBIA??
Helewa kuwa rais wa gambia kagoma matokea na tatizo la tz ni tume
Nyambafu mwenyewe..maana hujui wanaweza peleka majeshi na wakasema kulinda amani kwasababu za msingi hata km.sio kweli hata ecowas wasinge vamia kisa zanzibar
Ndio mana faizafox anasema
Huko shule mlienda kusoma ujinga
Balaa la gambia ni tofaut na zenji jiongeze
Haki inapo dhulumiwa dawa yake ni mwenye nguvu kumshinda muonezi wizi wa kura udanganyifu katika jumla ya matokeo jecha type ingefaa kupigwa ccm ni balaa huku eac unafiki mwingi.Siasa za bongo zimewaharibu watu uwezo wa kufikiri,yani mtu anatamani hadi vita et kisa tu ccm.
Ngoja nijibu tofaut nyingine sasaUtafauti wa znz na gambia ni upi