Majeshi ya Kenya yanawalinda Wasomali dhidi ya Al - Shabaab

Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,277
8,840
Kuna watu ni wendawazimu yani mtu na akili timamu anawasifu Allshabab kwa mauwaji ya kikatili wanayotekeleza kenya
Kwa kisingizio cha jeshi la kenya eti linauwa watu somalia,Ni uongo uliotukuka hao hao shabab ndio wanauwa wasomali na waislam wenzao kule somali tuache kupotosha na kudanganya watu na akili zao.
Majeshi ya kenya yanawalinda wasomali dhidi ya allshabab hilo lipo wazi.
 
Hiyo ni kweli hata kabla ya majeshi ya Kenya kupelekwa Somalia Al shabaab walikua wakiteka na kuua raia wa somalia
 
Kuna watu ni wendawazimu yani mtu na akili timamu anawasifu Allshabab kwa mauwaji ya kikatili wanayotekeleza kenya
Kwa kisingizio cha jeshi la kenya eti linauwa watu somalia,Ni uongo uliotukuka hao hao shabab ndio wanauwa wasomali na waislam wenzao kule somali tuache kupotosha na kudanganya watu na akili zao.
Majeshi ya kenya yanawalinda wasomali dhidi ya allshabab hilo lipo wazi.

Mkuu inaonekana umeguswa mno na hii issue, maana hii ni threads ya ngapi sijui unaanzisha kuhusu Wasomali, Wakenya na Alshbaab. Pole sana mkuu.
 
Ndio imenigusa huwezi kuuwa watu kwa kisingizio cha dini ni wehu then unapitosha watu na kusema majeshi ya kenya yanauwa watu somali na dunia nzima inajuwa wanalinda amani ya nchi ile.
 
Kwani Kenya ina jeshi? Nijuavyo mimi Kenya haina jeshi wala polisi. Ukitafakari ya matukio yote ya ugaidi Kenya tena wanakuwa alerted mapema lakini hamna ulinzi wala kupambana na magaidi. Nimeamua kuamini Kenya hakuna jeshi wala polisi
 
Kuna watu ni wendawazimu yani mtu na akili timamu anawasifu Allshabab kwa mauwaji ya kikatili wanayotekeleza kenya
Kwa kisingizio cha jeshi la kenya eti linauwa watu somalia,Ni uongo uliotukuka hao hao shabab ndio wanauwa wasomali na waislam wenzao kule somali tuache kupotosha na kudanganya watu na akili zao.
Majeshi ya kenya yanawalinda wasomali dhidi ya allshabab hilo lipo wazi.

Alshabab wako covered na CIA kupambana na alshabab boko haram and the like ni kupambana na CIA haitatokea hata siku moja eti nchi ya afrika kuwashinda hao the so called magaidi kama ilivyotokea nigeria! Eti watoto wamefichwa kwenye kamsitu halafu hawakamatiki!!!!. Kwa taarifa tu huko kenya ni njia tu ya kufika kwenye nchi zenye rasilimali hasa mafuta na gesi.. kenya wanapita ila mlengwa ni TZ na dalili za kuhusisha alshabab na TZ ndio zinatengenezwa hivyo so we are next! Soon wataingia hapa na wamarekani wataingia tu "kutuliza amani". Ukweli huu wengi huwa hawataki kuukubali kwa kuwa tayari sumu ya udini imeshazama kwenye damu. Time will tell!
 
Mkuu nakupa like za kutosha..umeongea vitu vizuri saana..hawa jamaa wanatafuta njia tu ya kuingia hapa kwetu..Mtwara ndo pataanzia..
 
Alshabab wako covered na CIA kupambana na alshabab boko haram and the like ni kupambana na CIA haitatokea hata siku moja eti nchi ya afrika kuwashinda hao the so called magaidi kama ilivyotokea nigeria! Eti watoto wamefichwa kwenye kamsitu halafu hawakamatiki!!!!. Kwa taarifa tu huko kenya ni njia tu ya kufika kwenye nchi zenye rasilimali hasa mafuta na gesi.. kenya wanapita ila mlengwa ni TZ na dalili za kuhusisha alshabab na TZ ndio zinatengenezwa hivyo so we are next! Soon wataingia hapa na wamarekani wataingia tu "kutuliza amani". Ukweli huu wengi huwa hawataki kuukubali kwa kuwa tayari sumu ya udini imeshazama kwenye damu. Time will tell!

Hilo lipo wazi mkuu! Ni kama CIA na Mossad walivyoitengeneza ISIS. Wao kazi yao kubwa n kutengeneza machafuko ili waweze kuvuna resources kipindi wananchi wapo preoccupied na matatizo ili wasiweze ku question chochote kinachoendelea.

Al qaeda, Al Shabaab, ISIL, Boko haram, yote n CIA made.
 
Alshabab wako covered na CIA kupambana na alshabab boko haram and the like ni kupambana na CIA haitatokea hata siku moja eti nchi ya afrika kuwashinda hao the so called magaidi kama ilivyotokea nigeria! Eti watoto wamefichwa kwenye kamsitu halafu hawakamatiki!!!!. Kwa taarifa tu huko kenya ni njia tu ya kufika kwenye nchi zenye rasilimali hasa mafuta na gesi.. kenya wanapita ila mlengwa ni TZ na dalili za kuhusisha alshabab na TZ ndio zinatengenezwa hivyo so we are next! Soon wataingia hapa na wamarekani wataingia tu "kutuliza amani". Ukweli huu wengi huwa hawataki kuukubali kwa kuwa tayari sumu ya udini imeshazama kwenye damu. Time will tell!

Proof please....
 
KUNA UKWEL KDG HUWA NAJIULZA U.S.A KAPGA NCH NGAP MPK ASHNDWE HAYA MAKUND N KWL?Kpga iraq,pakistan,afghasta,vietnam ingawa c sn,libya ndo awashindwe hawa?cjui
 
alshabab wako covered na cia kupambana na alshabab boko haram and the like ni kupambana na cia haitatokea hata siku moja eti nchi ya afrika kuwashinda hao the so called magaidi kama ilivyotokea nigeria! Eti watoto wamefichwa kwenye kamsitu halafu hawakamatiki!!!!. Kwa taarifa tu huko kenya ni njia tu ya kufika kwenye nchi zenye rasilimali hasa mafuta na gesi.. Kenya wanapita ila mlengwa ni tz na dalili za kuhusisha alshabab na tz ndio zinatengenezwa hivyo so we are next! Soon wataingia hapa na wamarekani wataingia tu "kutuliza amani". Ukweli huu wengi huwa hawataki kuukubali kwa kuwa tayari sumu ya udini imeshazama kwenye damu. Time will tell!

kama kuna kaukweli hapa,,,
 
KUNA UKWEL KDG HUWA NAJIULZA U.S.A KAPGA NCH NGAP MPK ASHNDWE HAYA MAKUND N KWL?Kpga iraq,pakistan,afghasta,vietnam ingawa c sn,libya ndo awashindwe hawa?cjui

Tofautisha kt ya war na terrorism
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom