Nimecheka sana,kwa taarifa yako kama huelewi....ugunduzi wa mambo mengi tu ulianzia jeshini(hapa naongelea-"technology world wide",aidha fanya utafiti utagundua kwa hapa kwetu tunawataalam waliobobea katika ngazi zote za elimu kuanzia degree ya kwanza na kuendelea waliopo katika majeshi yetu,siyo kweli kazi hizo haziwafai wasomi....kasi ya mabadiliko na kukuwa kwa teknolojia kunahitaji watu waliopevuka kielimu na majeshi yetu yanao wasomi wengi tu walio bobea katika fani mbalimbali,mawazo ya wanaowaza kama unavyowaza wewe kwamba kazi hizi hazihitaji wasomi ni mawazo hasi( its just a myth....),tatizo hatusomi vitabu na kufuatilia mambo....."The military(World wide) has played a major role in what we call modern technology,in other words there is no way the military could achieve this without professionalism....."kwa hiyo kazi hizi ni za wasomi kaka...."think twice"