mshana jr hebu weka details mkuu watu wanaweza pata japo kujifunza tu hapa ilikuwaje???!!!
Maana hawa mabazazi wanatumia njia nyingi sana kutimiza hii, kuna style ya kwenye pati au harusi mtu anaiweka tindikali kwenye glasi kama kinywaji anakuja anakuomba mzungumze kidogo ukikubali kwenda naye pembeni umeumia!!!