Majeraha yatapona lakini

Majeraha yatapona lakini

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,456
Reaction score
872,092
1413866973953.jpg

1413866990449.jpg
 
What is this thing called childabuse? I live in a rural area where there is no
tap water.Our only source of water is a river 3 kms from our home. I send
my two children; a girl and a boy to fetch water from the river every morning
and evening.You wouldn't tell me I am abusing my children, would you?
 
SHIEKA angalia vizuri huyo binti ndoo alizobeba na machozi anayotoa ....there must be something wrong somewhere
 
Last edited by a moderator:

Uwe mwangalifu na hawa watoto Mshana Jr. Anatoa machozi kwa sababu kapewa kazi au kwa sababu hiyo kazi ni kubwa kwake? Halafu watoto wa namna hii wasiopenda kazi ukiangalia huo ugali anaokula utazimia!
 
Yeah nakuelewa SHIEKA lakini kuna mazingira ambayo baadhi yao wanateswa na kuteseka
 
hahaahaha SHIEKA jamani acha ale ashibe si unatafuta kwa ajiri yao
 
Last edited by a moderator:
Yeah nakuelewa SHIEKA lakini kuna mazingira ambayo baadhi yao wanateswa na kuteseka

Huyu binadamu amepewa ndoo azitangulize muhusika atafuata baadae sasa inaelekea alikuwa anacheza akakataa kalishwa mkong`oto ndio anapeleka huku analia
 
Last edited by a moderator:
Uwe mwangalifu na hawa watoto Mshana Jr. Anatoa machozi kwa sababu kapewa kazi au kwa sababu hiyo kazi ni kubwa kwake? Halafu watoto wa namna hii wasiopenda kazi ukiangalia huo ugali anaokula utazimia!

Halii kwa kupewa kazi kwa sababu ni kazi ya kila siku, analia muda wa kucheza na yeye ndio amepewa kazi
 
Last edited by a moderator:
Halii kwa kupewa kazi kwa sababu ni kazi ya kila siku, analia muda wa kucheza na yeye ndio amepewa kazi

Michezo ni sehemu muhimu sana kwenye makuzi ya mtoto huleta afya ya mwili, akili na kumfanya awe na sharp mind na mchangamfu LAKINI iwe michezo yenye kujenga na yenye maadili
 
Mbona michezo mingi wanayocheza watoto ni ya kujenga, sijui wa siku hizi ila sisi tulikua tukicheza kobole (amabyo uko bara mnaita kombolela), watoto wangu, mpira na kadhalika
 
Mankachara siku hizi mambo yamebadilika mno ukikuta watoto wamejitenga mahali ujue tayari kuna shida
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom