Jang Bo Go
JF-Expert Member
- Oct 22, 2011
- 854
- 253
Habari zenu wadau
Baadhi ya majengo ya shule ya Sekondari Lindi yameteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo. Jambo la kumshukuru Mungu ni kwamba hakuna mtu aliyedhurika na moto huo.
Kwa taarifa za awali majengo ya madarasa zaidi ya 8 ya form one mpaka form four yalikumbwa na moto huo.
Ilikuwa ifungue kesho sasa haijafahamika kama watoto wataendelea kubaki likizo au kuna utaratibu utatumika warudi shule.
Chanzo cha moto bado hakijafahamika.