Majengo ya Morogoro, Nani mjenzi?

Majengo ya Morogoro, Nani mjenzi?

specialist88

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2014
Posts
1,140
Reaction score
619
Ndugu zangu,

Wiki iliyopita nilikuwa Mji kasoro bahari, a.k.a Moro town. Nilichokiona mjini pale kimenishangaza sana!

Ujenzi tu wa Moro, ni vituko, nyumba nyingi za Moro mjini (Mfano Nanenane & Kihonda) zimejengwa hovyo hovyo tu, utadhani viwanja havikupimwa. Nyumba zenyewe sasa, utadhani mjengaji alishikiwa bunduki wakati akijenga!

Nyumba hazikamiliki, nyumba zimejengwa hovyo hovyo kama magodauni, unakuta jumba kubwa lakini halina shepu, halijakamilika, vyoo sasa, daaaah! Kiufupi ni hovyo hovyo tu...

Sasa nikawa najiuliza;

1. Hizi nyumba mjengaji ni mmoja?

2. Nani anaidhinisha ramani zao. mpaka waanze kujenga?

3. Kwanini mtu ahangaike kujenga lijumba likuuubwa kama hawezi kulimudu gharama za umaliziaji na asijenge kajumba kadogo kazuri?

4. Hivi wakazi wa Moro, hawaendagi miji mingine kama Moshi, Mwanza, Babati, Dsm, Sumbawanga na kadhalika wakajionea watu wanavyojenga nyumba nzuri?

5. Kama wanaona, kwanini hawatamani?

6. Kama wanatamani, kwanini na wao hawaji kujenga mji wao vizuri?

Naomba kuwasilisha!
 
acha upumbavu bas kdg yaan kihonda n nanenane ukagenarilize
et moro iko hovyo
na so kwel kihonda iko km hvy unavyodai xaw uende tandale,buguruni,mwananyamala ukaja na majumuisho dsm imejengwa hovyo!!!

poor argument!!!!

tembea hyo kihonda yenyew,kola hill,kigurunyembe,kilakala,forest,
ndo utaona jins gan moro ilivyojengeka
 
4. Hivi wakazi wa Moro, hawaendagi miji mingine kama Moshi, Mwanza, Babati, Dsm, Sumbawanga na kadhalika wakajionea watu wanavyojenga nyumba nzuri?

Of all the places zenye mansions Tanzania ukapaweka na Babati?? Seriously? Wewe kama sio mmbulu basi ni mmang'ati! Huruki kwenye hizi kabila mbili chalii.
 
Ungeenda kihonda na sehemu zingine uone, mbona dar ubungo hadi kimara unafikiri nyumba zote zina vibali Au kiwanja kupimwa watu wanajenga tu holela
 
Mimi nakaa Kihonda Mkuu....Kihonda Kwa Chambo nimezaliwa Moro Elimu yangu ya msingi,sekondari yote Moro....naijua Moro vizuri....ni kweli kwamba si Nyumba zote ni Nzuri na si kweli kwamba Nyumba zote za Moro au Kihonda ni mbaya....pia n kweli kwamba si viwanja vyote vimepimwa Moro lakin pia kutokupimwa kwa kiwanja basi husababisha nyumba kuwa mbaya NO!.....nipo kihnda Muda mrefu sasa lakini si Nyumba zote za kihonda nazijua asa ww ndugu yangu uliyepita siku moja tu na ukaleta majumuisho ya namna kihonda na nanenane na Morogoro nzima ilivyo Duh....unantisha kidogo.....karibu nkutembeze Moro siku moja mkuu.
 
Of all the places zenye mansions Tanzania ukapaweka na Babati?? Seriously? Wewe kama sio mmbulu basi ni mmang'ati! Huruki kwenye hizi kabila mbili chalii.

si ndo hata me nilikua nashangaa hapa,eti kaweka hadi sumbawanga!huyu atakua mpori pori flani.
 
Nyie wakazi wa Moro mnajifariji ila ukweli upo pale pale,morogoro nyumba nyingi ni hovyo tu,utashangaa zilivyojengwa hovyo...utadhani mafundi walikuwa wanajifunzia kujenga hapo Moro
 
si ndo hata me nilikua nashangaa hapa,eti kaweka hadi sumbawanga!huyu atakua mpori pori flani.

Perry inaonekana umekariri...nenda sumbawanga leo,nenda babati leo alafu rudi morogoro yako ndio utajua wapi watu wanajenga nyumba nzuri.....
 
Nyie wakazi wa Moro mnajifariji ila ukweli upo pale pale,morogoro nyumba nyingi ni hovyo tu,utashangaa zilivyojengwa hovyo...utadhani mafundi walikuwa wanajifunzia kujenga hapo Moro

mkuu kuropoka hovyo. Kama huijui moro kaa kimya. Hata kihonda unayoisema labda kihonda mwisho kule kwa chambo, mkundi na kule kwa mwarabu. Lakn usiiseme kihonda magorofan.

Halafu njoo hata huku kilakala, forest, kola mpaka kigurunyembe,,..

Halafu unakazia kuongelea ubovu wa nyumba za moro vp kwenu zipo kama hizo? Au ww unayo kama hyo?.. Unaponda wakat unahangaika na kodi kila mwezi
 
Kuna ujenzi wa barabara na magorofa mjini kati stendi
 
Attachments

  • 1425203544790.jpg
    1425203544790.jpg
    115.4 KB · Views: 371
  • 1425203571709.jpg
    1425203571709.jpg
    83.4 KB · Views: 308
  • 1425203612305.jpg
    1425203612305.jpg
    87.3 KB · Views: 307
Mandhari ya kuelekea masika
 
Attachments

  • 1425203718125.jpg
    1425203718125.jpg
    92.7 KB · Views: 306
  • 1425203764579.jpg
    1425203764579.jpg
    70.2 KB · Views: 338
  • 1425203797415.jpg
    1425203797415.jpg
    57.8 KB · Views: 315
Nyie wakazi wa Moro mnajifariji ila ukweli upo pale pale,morogoro nyumba nyingi ni hovyo tu,utashangaa zilivyojengwa hovyo...utadhani mafundi walikuwa wanajifunzia kujenga hapo Moro
Jamani mweeeh...! Uko seriously ndugu? Ila karibu saaaana morogoro, ukifika uka wahadithie wenzako pia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom