Majembe barred from inspecting Dar buses | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Majembe barred from inspecting Dar buses

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by paesulta, Dec 9, 2009.

 1. paesulta

  paesulta JF-Expert Member

  #1
  Dec 9, 2009
  Joined: Mar 13, 2009
  Messages: 227
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Majembe barred from inspecting Dar buses
  BY THE GUARDIAN REPORTER
  9th December 2009


  Dar es Salaam Regional Commissioner William Lukuvi
  Dar es Salaam Regional Commissioner William Lukuvi announced last night suspension of Majembe Auction Mart from carrying out the inspection of commuter buses, saying there were legal loopholes in the implementation of the exercise.

  Majembe was contracted by the Surface and Marine Transport Regulatory Authority (SUMATRA) to inspect and levy fines on commuter buses violating transport regulations.

  Reports reaching this paper last night said the RC clarified that the move was to allow bus operators to make the necessary adjustments to voluntarily comply with transport regulations.

  Thousands of Dar es Salaam commuters, especially in Tabata suburb, were on Monday stranded at bus stops and forced to board pick-ups during the morning rush after some bus operators staged a strike protesting the fines levied by Majembe for violations of transport regulations.


  Swali langu,je maamuzi kama haya yanapotolewa(naongelea hili la kutoa mamlaka kwa Majembe Auctions kufanya kazi kwa niaba ya SUMATRA) huwa haufanyiki uchunguzi wa maswala mazima ya kisheria na vitu kama hivyo...! na je mkuu wa mkoa anaweza kususpend uamuzi wuliotolewa na chombo ambacho ni cha kitaifa kama ilivyo SUMATRA..!nini hasa mamlaka ya mkuu wa mkoa katika maswala kama haya au ndo kila mtu kujipayukia tu bila kujua hasa ana mamlaka gani......!?  SOURCE: THE GUARDIAN
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Dec 9, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Mi sishangai ishu ya amri hiyo kutolewa na Mkuu waMkoa, ijust want to congratulate him for reaching that much heavy decision.
  Majembe ni wababe fulani, na wanaboa wale, hawaelewi kitu, hawakamati network wala nini!
  Lakini wa ajabu zaidi ni yule Mkurugenzi wao ambaye analazimisha mambo mno, hawezi kuongea point hata ndogo katika kujitetea!
  Shame on Sumatra!
   
 3. M

  Matarese JF-Expert Member

  #3
  Dec 9, 2009
  Joined: Aug 30, 2009
  Messages: 519
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  All in all, something serious must be done soon to put order in public transport in Dsm, there is too much chaos, kama hakuna serikali vile!
   
 4. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #4
  Dec 9, 2009
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,306
  Likes Received: 5,596
  Trophy Points: 280
  Wanabebana kupaata ulaji....kuwanyanyasa wazalendo
   
 5. C

  Chief JF-Expert Member

  #5
  Dec 9, 2009
  Joined: Jun 5, 2006
  Messages: 1,488
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Majembe ni ya nani? Ndio hao wanaohusika vile vile na kukokota magari yaliyopakiwa ovyo?
   
 6. L

  Lunanilo JF-Expert Member

  #6
  Dec 9, 2009
  Joined: Feb 15, 2008
  Messages: 370
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Sielewi kwa nini kitu nyeti kama hicho kinapewa watu binafsi. Ningefurahi kama serikali ya jiji la Dar, au kitengo cha ufundi cha wizara ya mawasiliano ( or whatever it is called these days) kishughulikie ukaguzi wa mabasi, na kufuatilia mabo ya usalama barabarani. Ninajua kuwa pengine Majembe wanaweza kuajiri watu wenye sifa za namna hiyo lakini ninaamini kuwa kitu kinachohusu usalama wa Watanzania kina dhamana kubwa ambayo ningependa ibebwe na serikali. Nijuavyo mimi mambo mengi hapa kwetu yanafanywa kwa kujuana na kupeana mahongo, itakuwa vigumu kuiwajibisha kampuni binafsi kama kutatokea kitu cha hatari. ( Ninavyowafahamu Majembe, sio watu wa rushwa sana wanajulikana kama wanoko au watu wanaopenda kuonekana safi mbele ya serikali, hivyo wanajitahidi sana kutopokea rushwa, sijui kama wamebadilika)

  Kwa vile majembe ni wafanyabiashara binafsi, lazima watakuwa na mgongano na watu wanaomiliki mabasi, kwa sababu hao wenye mabasi wanawaona Majembe kama watu walio sawa nao, hawana authority juu yao.

  Nampongeza bwana Lukuvi kwa kusimamisha hii sughuli kwa sasa. Nitashangilia akisimamisha vyombo imara kufuatilia usalama wa barabarani, na njia bora ya kukusanya mapato.
   
 7. Mhache

  Mhache JF-Expert Member

  #7
  Dec 9, 2009
  Joined: Jun 20, 2008
  Messages: 346
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ninampongeza Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salamu kwa uamuzi wake wa kutolifungia macho suala hili. Lengo lake lilkuwa ni kuwanusuru abiria na adha za usafiri jijini. Mkuu wa Mkoa Ndugu Lukuvi fanya kazi yako. Keep it up.
   
 8. H

  HM Hafif JF-Expert Member

  #8
  Dec 9, 2009
  Joined: Aug 16, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Hongera sana Dr Hamza maneno yako kwenye thread ile ya mgmo wa mabasi umetimia.

  Nakunukuu
  1. majembe wao ni madalali wafanya biashara.
  Kukagua magari kuna taaluma.
  a.Ukaguzi wa magari ni kazi ya Polisi(Trafic)
  b. Ukaguzi wa leseni ni kazi ya SUMATRA.
  c.Leseni kazi ya wizara.

  Wasi wasi wake ni kuwa JE MAJEMBE WANA TAALUMA ZOTE HIZO. Je wamefundishwa kabla kupewa kazi,
  mwisho wa kunukuu

  Harufu nyingine ya Ufisadi.

  nakupa hongera Lukuvi
   
Loading...