Majaribu ni Mengi, lakini bado tunasonga Mbele

Majaribu ni Mengi, lakini bado tunasonga Mbele

MaxShimba

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
36,008
Reaction score
4,092
431591_350389221720075_1668613031_n.jpg
 
Nafikiri huu mtindo wa Wanawake kutovaa chupi na kisha kukaa uchi umeenea sana, nahisi inalipa sana kibiashara kwa dada zetu.

Alikuwa Wema Sepetu, Akaja Nakaaya Sumari na sasa huyu.
 
manyama nyama kama hayo huwa sipendelei
 
Hapo hakuna majaribu kama wewe ni mwelewa hapo hapo unatoka kwenye mada ya majaribu na kuweka akilini magonjwa maana kwa mwanadamu wa kawaida huyo ni changu anajiuza so hapo ni magonjwa siyo majaribu tena
 
Baada ya mitindo ya Mabega wazi, Kifua wazi, Mgongo wazi, Matiti wazi, Kitovu wazi, Mapaja wazi na Masaburi wazi kupitwa na wakati sasa wamekuja na mtindo mpya wa UKE WAZI.
 
Kuna tetesi kuwa wanawake wengi wasiopenda kuvaa nguo za ndani, wamezoa kutoa huduma ya ngono ya Chapchap.
 
kwa msaada wa Mungu tunshinda ya dunia,
tunasonga mbele kwa sababu......................
 
Hamna jipya hapo, anajidhalilisha yeye na wanawake wenzie pia.
 
Naikumbuka Tanzania ambayo mavazi ya heshima yalikuwa ni muhimu na lazima kuvaliwa ikiwa unataka kuotoka nje ya nyumba yako !!
 
bora hata angevaa chupi? lakini sijaelewa anafanya hivo kwa makusudi gani?
 
hiyo picha imepigwa wapi?au kwenye msiba wa kanumba au mkutano wa uwt?
 
Back
Top Bottom