Majaribu mazito kwa mke wa mtu....msaada jamani!

Majaribu mazito kwa mke wa mtu....msaada jamani!

Amekuja kwangu akiwa na sura ya huzuni na majonzi tele, nikajua ana tatizo kubwa, nikaketi kumsikiliza habari aliyojia;

Ni mwanamke ameolewa miaka michache iliyopita yaani ndoa yao bado changa tu, ameajiriwa katika kampuni fulani binafsi wanamlipa mshahara wa kutosha kubadili mboga, mumewe alipata uhamisho kwenda mkoani kikazi kama mwaka tu umepita, wakapiga mahesabu wana miradi na wamejenga nyumba yao hapa, kipato chao ni cha kawaida tu hivyo wakaona mke aendelee na kazi hapa hapa ila mume ndio aende mkoani kusaka maisha halafu mume akipata nafasi atakuwa anakuja na mke anaweza kwenda pia.

Baada ya mume kuondoka mke ameendelea na maisha kama kawaida, ila TATIZO limeanzia pale ambapo rafiki yangu huyu amejikuta anavutiwa sana na mwanaume mmoja ambaye anakaa maneneo ya karibu na nyumbani kwake na mara kadhaa amekuwa akimkuta njiani na kumpa lifti na kuongea mawili matatu ya maisha. Kadiri siku zinavyokwenda anazidi kumpenda mwanaume huyu ambaye pia ni mume wa mtu! Hajui afanyeje kuepuka hali hii kwani ni mtu ambaye familia zao zimeshazoeana si rahisi kukatisha mahusiano ghafla kutaleta maswali sana, hawezi kuhama mtaa wala kubadili njia ni hiyohiyo moja, na wakati mwingine usafiri ni wa shida balaa inabidi tu akubali hiyo lifti. Huyo mwanaume hajaonyesha dalili yoyote ya kumzimikia rafiki yangu huyu wala kumtongoza, ni mdada tu ndio amempenda/tamani)!

Nimemshauri akae mbali na huyo jamaa na pia ajitahidi kwenda kumuona mumewe au amwambie mumewe aje haraka kuokoa jahazi, hayo yote ni majaribu tu kwa kuwa hajamuona mumewe siku nyingi! dada wa watu anasema hafikirii kumsaliti mumewe hata siku moja kwahiyo ndio anatafuta jinsi ya kukimbia jaribu hilo, anatamani apate wasaa amwambie ukweli, kitu ambacho naona si sahihi kwani anaweza akadraw attention ya huyo jamaa na kumfanya nae amuwazie kimapenzi na matokeo yake anaweza kumuweka katika majaribu zaidi wakafanya usaliti ktk ndoa zao.

Nimetoa ushauri kwa wengi lakini hili nimepungukiwa nondo, niongezeeni maoni yenu wadau! nimsaidieje huyu dada?

Ila ujumbe nilioupata hapa ni kwamba tusiache wake zetu mbali, sijui iwe ni kwa sababu gani lakini tufikirie marambili, pia kama mke yuko ktk hali hii je mumewe huko yuko ktk hali gani? anayashindaje majaribu? nimejiuliza sana.

Genye at work...hamna kitu hapo, sanasana kumshauri mwambie akapige nyeto amsubirie mume wake arudi. Atuache kabisaa sisi waume za watu......tuna wake zetu sie.
 
Very simple usiumize vichwa vyetu, its either umwambie mumewe or uachane apopolewe kwani yatakayomkuta ni juu yake, huyo mwanamke ni mzinzi tu period, and she is so cheap yani kisa lift tu? Siku akija kunua gari ha ka- duet atajiona alivyokuwa cheap!

ILA SIO KOSA LAKE, LIFT, CHIPS KUKU, SAVANNAH, HEINEKEN ZIMEWAPONZA WADADA WENGI SANA TENA SANA TU!
 
Samahani kidogo hapo, hivi yule anayeoa halafu anaendela kutamani wanawake nje nae anaitwaje vile?

Anaitwa mume wa mtu, Jembe, K.i.t.o.m.b.i , papaa, Bazazi, etc ila hawezi kuitwa malaya malaya ni feminine so tafuta mascuine yake sio lazima kila neno la kiswahili liwe na usawa.
 
Mwambie asubirie tu aone nini kitaendelea... Ikifika mahali akishindwa kabisa akamwambia, then aje akupe taarifa tumshauri tena...
 
Very simple usiumize vichwa vyetu, its either umwambie mumewe or uachane apopolewe kwani yatakayomkuta ni juu yake, huyo mwanamke ni mzinzi tu period, and she is so cheap yani kisa lift tu? Siku akija kunua gari ha ka- duet atajiona alivyokuwa cheap!

ILA SIO KOSA LAKE, LIFT, CHIPS KUKU, SAVANNAH, HEINEKEN ZIMEWAPONZA WADADA WENGI SANA TENA SANA TU!

Hapana, hapo kisa sio lift tu ndugu, hiyo iko hapo kwa sababu ni namna mojawapo inayowakutanisha ktk maongezi kwani hata bila lift watakutana tu kwani wanakaa maeneo ya karibu na familia zao zinafahamiana na kutembeleana. Ushauri hapo ni kwamba amuepuke vipi huyo bwana, kwani kadiri anavyozidi kumuona ndio roho yake inamuwaka moto! Amekubali kuacha kupanda hiyo lift ili kukwepa maongezi zaidi, ila bado wataonana mtaani! Kumwambia mumewe ni kuchimba kaburi la ndoa yao kitu nisichopenda kitokee. Nashukuru kwa muda wako kuchangia pia.
 
nampongeza sn huyo dada kwa kujua kuwa ana tatizo, na kuamua kukuomba ushauri. Huyo ni shetani anamnyemelea ajitahidi kufanya ibada, pia aende kwa mumewe akapunguze stress. Amuepuke kabisa huyo mtu, ajitahidi kulate kazin au awahi sn. Awe anachukua bajaji au pikipiki na yeye loh! Mbona ni bei poa tu, au mpaka aweke kishoka ktk gari la watu!
 
Hapana, hapo kisa sio lift tu ndugu, hiyo iko hapo kwa sababu ni namna mojawapo inayowakutanisha ktk maongezi kwani hata bila lift watakutana tu kwani wanakaa maeneo ya karibu na familia zao zinafahamiana na kutembeleana. Ushauri hapo ni kwamba amuepuke vipi huyo bwana, kwani kadiri anavyozidi kumuona ndio roho yake inamuwaka moto! Amekubali kuacha kupanda hiyo lift ili kukwepa maongezi zaidi, ila bado wataonana mtaani! Kumwambia mumewe ni kuchimba kaburi la ndoa yao kitu nisichopenda kitokee. Nashukuru kwa muda wako kuchangia pia.
hapo mtaan wataonana vp wakati yy anakaa nyumbani kwake na huyo baba nyumbani kwake. Ajitahidi kutulia ndani kama mwali, amuepuke. Mwambie accheze na hiyo hali huwa inatekenya kumuona ona tu jamaa. Amkimbie kama ukoma.
 
Shida yake iko very clear, ni mapenzi tu ndio yanayomsumbua.

Amweleze mume arudi nyumbani kwa muda ama la yeye amufuate, mbona haya mambo yako wazi ndivyo tulivyoumbwa na ni Mapenzi ya Mungu ili tusaidiane.

Angalia 1 Kor 7:2-6
 
huyo haitaji ushauri wowote,haya ndio matatizo ya wanawake..wanawake wana ujinga furani ambao hauna maana kinacho msumbua hapo ni upweke wa kuwa na mumewe kila wakati..hawa ndio wanadai haki sawa! hawa...kwa kifupi mwambie afanye maamuzi magumu ya kuelekeza akili kwenye kazi kama walivyo kubaliana na mumewe...
 
hivi hakuna mastabeiiiisheeeni kwa wanawake?
kama ana ukame bora hiyo kuliko kumsaliti mumewe
atakuwa huru,no ngoma wala mimbazzz.........
ajipe mwenyewe katerero kwa raha zake.
 
Dawa ya tatizo ni kulikabili na si kulikimbia kwa vyovyote vile huyo dada kuna kilichomvutia kwa huyo mume wa mtu na hicho kilichomvutia ndio adui wa ndoa yake.Ushauri wangu asikikimbie bali akae chini ajiridhishe mwenyewe ni kitu gani kilichomvutia kwa huyo bwana then ndio aanze kupambana nacho kwa kukipuuzia kwani kama asipofanya hivyo atazidi kumweka huyo bwana akilini mwake na mwisho wa siku atajikuta amefanya ambayo hakutarajia
 
well if u want to short circuit ur marriage live in different cities!!! mfano hai huo hapo jamani. kwa wale mnataka kuoa mambo ya kuishi mikoa mbali mbali sio ndoa bali kujidanganya.

mkuu apo nakupa big up jamani hata kama unataka kuoa mfanyakazi mida mingine angalia aina ya kazi anayo fanya na unayo fanya. Ambayo itakua rahisi kumfanyia uhamisho kama vipi muanzishie mradi ambao utasaidia kuingiza kipato ndani chamsingi awe hulu unapo muhitaji
 
Anaitwa mume wa mtu, Jembe, K.i.t.o.m.b.i , papaa, Bazazi, etc ila hawezi kuitwa malaya malaya ni feminine so tafuta mascuine yake sio lazima kila neno la kiswahili liwe na usawa.

Naaam....Umetisha kaka....
 
Nashukuru kwa kuwa amekuja kuomba ushauri ila hatujui kama ushaur anaomba baada ya .....au kabla ya ... Kama ulivyoeleza
Ila mim najiuliza maswali yafuatayo:-
1. Kuna juhudi zozote zimefanyika ili wao wakutane ikashindikana??? Maana simba akizidiwa hata mzoga atakula
2. Wao wote wawili wanaishije katika hali hiyo??
3. Distance ndo imemfanya awaze hivyo au ni man is more than his pen...
Mim nashauri hiv niliwahi kusoma kitabu kimoja kinaitwa model marriage kinasema mwanamke/me anapokaa karibu na mwanaume/ke ambaye siye mme au mke wake ni sababu kubwa sana ya kusaliti ndoa zao so avoid it
kingine huyo dada anapepo nahis hata mume wake angekuepo angeweza kuwaza hayo aliyowaza tuu amuombe Mungu amuepushe na pepo hilo
Mwisho kabisa naomba wote wawili wakae pamoja washauriane kuhusu ndoa yao kwani ndoa yao ni muhimu sana kuliko kazi.
 
amekuja kwangu akiwa na sura ya huzuni na majonzi tele, nikajua ana tatizo kubwa, nikaketi kumsikiliza habari aliyojia;

ni mwanamke ameolewa miaka michache iliyopita yaani ndoa yao bado changa tu, ameajiriwa katika kampuni fulani binafsi wanamlipa mshahara wa kutosha kubadili mboga, mumewe alipata uhamisho kwenda mkoani kikazi kama mwaka tu umepita, wakapiga mahesabu wana miradi na wamejenga nyumba yao hapa, kipato chao ni cha kawaida tu hivyo wakaona mke aendelee na kazi hapa hapa ila mume ndio aende mkoani kusaka maisha halafu mume akipata nafasi atakuwa anakuja na mke anaweza kwenda pia.

Baada ya mume kuondoka mke ameendelea na maisha kama kawaida, ila tatizo limeanzia pale ambapo rafiki yangu huyu amejikuta anavutiwa sana na mwanaume mmoja ambaye anakaa maneneo ya karibu na nyumbani kwake na mara kadhaa amekuwa akimkuta njiani na kumpa lifti na kuongea mawili matatu ya maisha. Kadiri siku zinavyokwenda anazidi kumpenda mwanaume huyu ambaye pia ni mume wa mtu! Hajui afanyeje kuepuka hali hii kwani ni mtu ambaye familia zao zimeshazoeana si rahisi kukatisha mahusiano ghafla kutaleta maswali sana, hawezi kuhama mtaa wala kubadili njia ni hiyohiyo moja, na wakati mwingine usafiri ni wa shida balaa inabidi tu akubali hiyo lifti. Huyo mwanaume hajaonyesha dalili yoyote ya kumzimikia rafiki yangu huyu wala kumtongoza, ni mdada tu ndio amempenda/tamani)!

Nimemshauri akae mbali na huyo jamaa na pia ajitahidi kwenda kumuona mumewe au amwambie mumewe aje haraka kuokoa jahazi, hayo yote ni majaribu tu kwa kuwa hajamuona mumewe siku nyingi! Dada wa watu anasema hafikirii kumsaliti mumewe hata siku moja kwahiyo ndio anatafuta jinsi ya kukimbia jaribu hilo, anatamani apate wasaa amwambie ukweli, kitu ambacho naona si sahihi kwani anaweza akadraw attention ya huyo jamaa na kumfanya nae amuwazie kimapenzi na matokeo yake anaweza kumuweka katika majaribu zaidi wakafanya usaliti ktk ndoa zao.

Nimetoa ushauri kwa wengi lakini hili nimepungukiwa nondo, niongezeeni maoni yenu wadau! Nimsaidieje huyu dada?

Ila ujumbe nilioupata hapa ni kwamba tusiache wake zetu mbali, sijui iwe ni kwa sababu gani lakini tufikirie marambili, pia kama mke yuko ktk hali hii je mumewe huko yuko ktk hali gani? Anayashindaje majaribu? Nimejiuliza sana.

huyo dada anapenda, huwez ukasema hawez kumsaliti m'mewe wakat akimuona huyo kaka 2 kaloa! Je huyo kaka akiamua kumtongoza unadhan huyo dada atachomoa? Kama unamkataa shetan kataa na kaz zake zote, c anazuga hamtak haf anapanda lift n.k, keshaliwa huyo dada!
 
Back
Top Bottom