Majaribu hayaishi nyooo

Majaribu2013

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2013
Posts
950
Reaction score
1,050
Yaani Majaribu anasafiri kutoka mkoani kwenda Dar majaribu yanaanzia kwenye hili bus sasa duh, nimezungukwa na warembo kulia kushoto mbele na nyuma dah! halafu bus imesheeni vimwana wa ukwelikweli dah! Hapa lazima nijipatie mmoja sasa nitumie njia gani kumnasa hata 1 ukizingatia hawapo kwenye sit yangu. Nani aniongezee bujuzi?
 
Nchii hii ni masikini kwa mengi sana lakini sawa hayo ndiyo unayowaza utupe na ikiwa hutakiwa kuwanasa maana hao ni wajanja sana.
 
msamiati - nyooo! mkuu huu sio msamiati bhana!
 

Mko midterm au umetoroka shuleni?
 
Sa hiyo nyoo ya nini tena???
af mwanaume unasemaje nyooo, hilo neno linatumiwa na wanawake wakiwa wanachambana...
na huku kwetu nyoo ni papuchi

Umejuaje kama ni mwanaume? Hivi hata mashoga ni wanaume??
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…