Anatakiwa aheshimu mkewe jamani, tunza heshima yamkeo mwayego!!
hapo ndipo ninapochoka, wanaume walio wengi kuonyesha udhaifu kiasi hicho mwisho utavunja ndoa yako buree. kwani ukimwambia ukweli nakuonyesha msimamo atakulazimisha ? au na wewe unataka kuwa nae unatuzuga ?
Mpo?
Kwa kawaida kila kazi ina kipindi cha retreat na kujirefresh.
Tangu nipate uhamisho ndio kwanza tumeenda.
Tatizo ni kwamba kumbe kila 'me' huku amejipanga na 'ke' wake ambao wote ni workmates.
Sasa imebaki mimi na yule secretary wangu ambaye kwa sasa tuko in good terms baada ya kunitukana kwenye daladala.
Sasa juzi usiku kaja kwa chumba changu usiku na kudai anaogopa eti hajazoea kulala peke yake na kuwa ana ndugu yake wa kike ndiye anayeishi naye.
Imebidi niwe nalala kwenye sakafu . La kushangaza kahamia kabisa chumbani kwani kaja na begi lote na pia kuogea bafu ya chumba changu.
Nina mke wa ndoa na mtoto ambao nawapenda sana.
Nimfanye nini?
NB. Wafanyakazi wengine hawajui kinachoendelea kwani wako kwenye guest zingine.
Plz advice don't provoke

Mijanamume mingine milofa[QUOTE
Huyu ni mvulana bado maana mwanaume kwa suala kama hilo angeshalitatua...
Kakina masala akenaka