Majaribu chungu nzima

Majaribu chungu nzima

Kiluuj

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2015
Posts
692
Reaction score
278
Mpo?

Kwa kawaida kila kazi ina kipindi cha retreat na kujirefresh.

Tangu nipate uhamisho ndio kwanza tumeenda.
Tatizo ni kwamba kumbe kila 'me' huku amejipanga na 'ke' wake ambao wote ni workmates.

Sasa imebaki mimi na yule secretary wangu ambaye kwa sasa tuko in good terms baada ya kunitukana kwenye daladala.

Sasa juzi usiku kaja kwa chumba changu usiku na kudai anaogopa eti hajazoea kulala peke yake na kuwa ana ndugu yake wa kike ndiye anayeishi naye.

Imebidi niwe nalala kwenye sakafu . La kushangaza kahamia kabisa chumbani kwani kaja na begi lote na pia kuogea bafu ya chumba changu.

Nina mke wa ndoa na mtoto ambao nawapenda sana.
Nimfanye nini?

NB. Wafanyakazi wengine hawajui kinachoendelea kwani wako kwenye guest zingine.

Plz advice don't provoke
 
Ana save gharama zake za kupanga chumba! Wewe endelea kulipia room tu na ulale sakafuni, usimsumbue. Heshimu na jali ndoa yako. Ha ha ha!

Una mke na watoto unalala room moja na staff mwenzio? Subiri kutangazwa ofisini kwamba wewe sio lolote,si chochote! Kimbia mtego huo!
 
Eti umfanyie nini, hujui? Use that something something between yo thighs

Kiluuj anafurahisha watu tu hana lolote! asitufanye hatujui mambo, ofisi nyingi nnazozifaham wakifanya retreat wanaenda kwenye hotel moja ambayo inalipiwa na ofisi na kila mtu anakua na chumba chake. Kama huyu ndio bosi kwenye ofisi basi hiyo ofisi sipati mfano wake.
 
Last edited by a moderator:

Point yako?
 
Last edited by a moderator:
Met this one guy who's kinda connected to the system back home and he told me this, "After October 25th, there'll be many a slip between the cup and the lip". And i said, "Tell me about it".
 
Kiluuj anafurahisha watu tu hana lolote! asitufanye hatujui mambo, ofisi nyingi nnazozifaham wakifanya retreat wanaenda kwenye hotel moja ambayo inalipiwa na ofisi na kila mtu anakua na chumba chake. Kama huyu ndio bosi kwenye ofisi basi hiyo ofisi sipati mfano wake.
Na utakuta kishamtier anapima upepo tu hapa
 
Hebu mnaniliu bwana!Vip ww?Au huujui utamu wa papuchi?
 
Nafikiri sijapitwa ...nasubiri next episode ..Part III.............
 
Nay, it's actually a live event. It's happening now.
And by the way, yours is a spoilt vote.

Hivi ni kweli uko serious unataka ushauri na haujui nini cha kufanya? Si tayari umeshaamua kulala sakafuni, unataka ushauriwe nini tena hapo? Huo nao ni uamuzi. The whole thing is mumbo jumbo.....
 
Back
Top Bottom