Majaniiiii.....Temba apaa!!

Magisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2015
Posts
617
Reaction score
500
Mwizi mmoja baada ya kuchezea kichapo kikali akajifanya amekufa. Watu wakataka kumchoma moto. Hakukuwa na majani ya kuchomea, jamaa mmoja akaita.. "Oyaa leteni majaniii" mwizi akajibu "Temba apa!!" Kilochofata sisemiπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
teh teh teh......,nampenda yeye ye ndo yeeeee...wala cwez kwenda kwa mwinginee
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…