Majani Mengine Balaa Tupu

Majani Mengine Balaa Tupu

niambie mapungufu yake usitupe title research wakufanyie wengine tiririka hapa mapungufu yake .

Wacha niinukuu.....
"Kosea njia utaelekezwa,lakini usikosee mtu wakuoa /kuolewa naye,vinginevyo majuto yatakuwa sehemu ya maisha yako. tuliza kichwa unapochagua mwenzi wa maisha".

Mapungufu ni hapo kwenye bluu.....Hivi unatakiwa kutuliza kichwa ama ni kumwomba Mungu???
<!-- google_ad_section_end -->
 
Jamaa anafanya tathmini aanze na mzigo upi? Wa mkononi au wa mfukoni
 
Wacha niinukuu.....
"Kosea njia utaelekezwa,lakini usikosee mtu wakuoa /kuolewa naye,vinginevyo majuto yatakuwa sehemu ya maisha yako. tuliza kichwa unapochagua mwenzi wa maisha".

Mapungufu ni hapo kwenye bluu.....Hivi unatakiwa kutuliza kichwa ama ni kumwomba Mungu???
<!-- google_ad_section_end -->
unafikiri watu wote wanaamini kuna mungu? na wapagani je wamwombe nani! dont be so selfish wape watu uwanja mpana wakufikiri let world to be a better place to stay
 
Umejificha ndani ya uvungu wa upagani....Si ndo wewe huwa unatetea ukristo dini ambayo ni feki kabisa......! Au leo umeikana?
 
wapi ulinikuta nikitetea !sipendi mtu akashifu dini au imani ya mtu thats all kuiita feki au safi haisaidii ukifa unawaacha wengine wakiendelea kuigiza na dini zao !mwisho wa wewe kutambulika ni mkisto au islam ni ukishafukiwa baada ya hapo hujui kinachoendelea.
 
Siyo kweli!!! Maandiko matakatifu (biblia) inasema kuna uzima wa milele baada ya kifo, sasa hapo kwenye blue imeonesha kumbe wahubiri wetu wanahubiri bure ama wanahubiri kitu kisichokuwapo!!!
 
hapo ndio akili kukichwa hakuna anayeujua ukweli nikuridhishana tu.
 
Back
Top Bottom