mziguamnguu
Member
- Nov 16, 2015
- 52
- 18
Habari zenu waungwana,
Naomba kujuzwa kwa yoyote aliye na uhakika na hili kuwa kuna Rubani wa Helicopter ndugu Roger raia wa Uingereza kupigwa risasi na majangili na kufariki katika hifadhi ya Maswa karibia na Serengeti.
----------
Poachers shot and killed Capt Roger, a helicopter pilot who was on a mission to help Rangers find killers of an elephant at Maswa Game Reserve near Serengeti National Park.
Capt Roger, a British national, was shot mid air by poachers AK47, managed to land his chopper but sadly died before his rescue last night
------------
Kadiri ya taarifa ninavyozipata alikuwa anatua kuchukua Rangers waliokuwa doria majangili wakawaotea kwenye chopper walikuwa wawili 2 hivyo jamaa waliwapiga risasi wakiwa juu lakini walijitahidi na kutua sehemu nyingine baada ya muda mfupi pilot mmoja wapo (Rogers) alifariki. Nimethibitisha sasa.
Zaidi:
Kwa mara ya kwanza katika historia ya uhifadhi nchini Majangili wamempiga risasi na kumuua Rubani Rogers na kuangusha helikopta aliyokuwa akitumia kwa risasi.
Alikuwa akienda kuongeza nguvu ya askari wa uhifadhi waliokuwa wakipambana na majangili hatari wilayani Meatu, Simiyu katika ranchi ya wanyamapori ya Mwiba.
Chopper baada ya kuanguka.