OgwaluMapesa
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 10,942
- 429
wadau!!
Sasa nimeamin hawa jamaa wameizid serikali kete.
Katika hali ya kushangaza majangili wameuwa tena faru katika hifadhi ya taifa serengeti kusini eneo maarufu lijuliknao kwa jina la moru.
Faru nuyo ameuwa na majangili wameondka na pembe yake,ni juzi operasheni ya kuokoa tembo ilisitishwa leo wamehamia kwenye faru,
Ni waz sasa hawa majangili ni zaidi ya serikali,kwa jinsi ninavyofahmu faru hawa wa serengeti wanapewa ulinzi wa hali ya juu,mpaka ilifikia kipndi askar wa wanyamapori wanakabidhiana faru pindi mtu anapotoka lindo,yule anaye ingia lindon anahakikisha amewaona faru woye ndo asaini kitabu asipowaona hawez kusaini.
Kama hiyo haitoshi faru haw a wamekuw na ulinzi wa kutosha kwan wamekuw wakifungwa transmiter kuhakikisha wanawamonita muda wote,na wamekuwa na magar special ya kuwafuatilia kila wanapo sogea hata mita moja nao askari wa tanapa wanasogea na kupiga mahema!!
Sasa najiuliza ni laaana gani iliyoikumba serikali ikashindwa kushughulikia janga hili la kupotea kwa maliasili zetu