Majangaaaa!

Majangaaaa!

kweli majanga.....
hata uasherati wauita tendo la ndoa!!!!!
 
^^
Fabian leonard
Jambo linalokutokea ni la kawaida kwa mtu ambaye amefikia ukubwani hajawahi kufanya tendo la ndoa.
^^
Tatizo lako ni la kisaikolojia zaidi kwa sababu hukuletea aibu na fadhaa kubwa ilihali mwanamke huishia kukosa jibu ni kwa nini imekuwa hivyo.
^^
Ni wazi wewe unajawa na hofu,,woga,,au kutetemeka hasa pale unapotazama uzuri wa mwanamke aliyelala mbele yako kwa uzuri unaokuingia ubongoni.Na pengine bado hujawa na taarifa za kutosha kuwahusu wanawake.
Kama ndivyo fanya haya,
1.
Huyo mwanamke aliyelala hapo,na uzuri wake na mwingi wa wema usoni,anahitaji umuingie taratibu,,ujitawale zaidi,utamke maneno matamu ambayo yatakusisimua hata wewe.
2.
Futa hisia zote zilizo nje ya tendo la ndoa.Ni wewe tu na tayari ni mshindi.
3.
Kama mpenzi wako ni muwazi na anakujali,,chezeaneni hakikisha unampa ruhusa ya kukushika,kukupapasa ila kama ndo wale wakujifunika uso kwa viganja basi ujue umeachiwa jukumu la kuongoza mechi.
Timiza wajibu wako kama mwanaume kamili.
4.
Jitawale mwili wako.Jitahidi hakuna mwalimu wa mapenzi,,uwe huru
^^
 
Last edited by a moderator:
Unaepushwa na dhambi. Subiri uoe dogo upate mabaraka yote ya dunia na mbinguni na watoto wako wabarikiwe.
 
Naombeni msaada jana nilikua na demu tunataka kufanya tendo la ndoa lakini mara ya sita sasa kila nikiwa na mwanamke uume hausimami sawasawa na tangia ni zakiwe sijawahi kufanya tendo la ndoa nifanyeje!


kuna mwanasayansi mmoja alisema uki2mia kitu kitaongezeka na kuwa imara zaidi LAKINI usipokitumia kitakuwaduni na baadaye kupotea
sasa wew ki2chako kinaweza kupotea mana hakisimami...
chamsingi mwombe muumba wako akurudishie
 
Naombeni msaada jana nilikua na demu tunataka kufanya tendo la ndoa lakini mara ya sita sasa kila nikiwa na mwanamke uume hausimami sawasawa na tangia ni zakiwe sijawahi kufanya tendo la ndoa nifanyeje!

Acha kuhamaki kuduu kunahitaji utulivu wa moyo na akili
 
ahaaa! Kumbee!!

Yup...wanaume wengi wanaathirika pasipo wao kujua na mbaya zaidi madhara yake huchukua muda mrefu kujionesha.
Mwisho wa siku uume unakuwa mdebwedo kama mkia wa kondoo.
 
Back
Top Bottom