Majanga

Majanga

PNC

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2015
Posts
8,105
Reaction score
14,356
MUME: "Mke wangu naskia John
katembea na wake za watu
wooote apa mtaani kasoro
mmoja tu!"
MKE: "Mmmh! basi huyo alie baki
atakuwa MAMA MBILINGE KISIKI,
maana yule mama ndo
ANAJIFANYAGA MGUMU sanaaa.!!"
Je, huyu mama angekuwa mkeo
ungekuwa na swali lingine la
kumuuliza?
 
Back
Top Bottom