Manyi
JF-Expert Member
- Dec 6, 2011
- 3,253
- 604
ndio kulikua na mabadiliko ya tiket na ndio maana waziri akawa na uwezo wa kubadili ndege maana hakutaarifiwa kama ndege itapita dubai na watalala dubai
na yeye hakutaka kulala dubai maana matatizo ya dubai hasa kippindi hiki yanajulikana sehemu ya kulala ni shida sana
tatizo wengi wenu mnacoment hapa hata ndege hamjawahi kupanda ndio maana mnatoa mishipa
ivi nyie TANZANIA DAIMA kabla ya kuandika hii habari mlimuuliza Mh waziri ilikuaje? au ni ule mwendelzo wenu wa kmchafua?
mliandika amewatuka Maaskofu ila baadae Askofu ndege na Askofu Kilaini wakakanusha lakn mkashindwa kuandika.
acheni ujinga jengeni Nchi yenu siasa za kuchafua mawaziri wanaofanya kazi muache wafanye kazi
Hapo kwenye red, usikurupuke kuandika usichokuwa na uhakika. Kupanda ndege kwa maisha leo nae unaona ujanja wakati wenzako tumezichoka!! Chezea Consultant wewe na kusafiri kila siku kwa pipa!!
Nyambafu!