Majanga: Waziri Muhongo Asusia Ndege, Kisa, Kakosa Daraja La Kwanza

Manyi

Manyi

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2011
Messages
3,254
Points
1,195
Manyi

Manyi

JF-Expert Member
Joined Dec 6, 2011
3,254 1,195
ndio kulikua na mabadiliko ya tiket na ndio maana waziri akawa na uwezo wa kubadili ndege maana hakutaarifiwa kama ndege itapita dubai na watalala dubai

na yeye hakutaka kulala dubai maana matatizo ya dubai hasa kippindi hiki yanajulikana sehemu ya kulala ni shida sana

tatizo wengi wenu mnacoment hapa hata ndege hamjawahi kupanda ndio maana mnatoa mishipa

ivi nyie TANZANIA DAIMA kabla ya kuandika hii habari mlimuuliza Mh waziri ilikuaje? au ni ule mwendelzo wenu wa kmchafua?
mliandika amewatuka Maaskofu ila baadae Askofu ndege na Askofu Kilaini wakakanusha lakn mkashindwa kuandika.
acheni ujinga jengeni Nchi yenu siasa za kuchafua mawaziri wanaofanya kazi muache wafanye kazi
Hapo kwenye red, usikurupuke kuandika usichokuwa na uhakika. Kupanda ndege kwa maisha leo nae unaona ujanja wakati wenzako tumezichoka!! Chezea Consultant wewe na kusafiri kila siku kwa pipa!!

Nyambafu!
 
wambeke

wambeke

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2013
Messages
2,659
Points
2,000
wambeke

wambeke

JF-Expert Member
Joined Aug 30, 2013
2,659 2,000
Mkuu kila mtu mwenye akili timamu anajua Prof. hawezi kufanya mambo ya kijinga, kwa bahati mbaya kuna Watanzania wenzetu wamejipanga kumzulia Mh.Muhongo kashifa za kila sampuri, kila anacho sema kinakuwa grossly misinterpreted kimakusudi, kila alifanyalo mahasimu wake wanaliona lina WALAKINI!! Mimi namshauri Prof. Muhogo achape kazi na kuinua Uchumi wa Taifa letu, uwezo huo anao sana aogopi kusema ukweli na nana interest za Taifa letu ndani ya moyo wake - asiwasikilize watu waigizaji wanao jifanya wana majibu ya kila tatizo linalo kabiri Taifa letu specifically nyanja za "GESI NA MAFUTA".
NI KWELI MKUU HATA MIE namshauri MH WAZIRI afanye kazi aachane na hawa wapuzi na gazeti lao Tanzania daima maamna limejipanga kumchafua. juzi hapa alikua na Kongamano na JUMUIYA ZA KIDINI kesho yake wakaja na hekaya zao kua kawatukana maaskofu ila maaskofu wakakanusha lakn hawa udaku TZ DAIMA hawakuandika nashangaa leo tena wamekuja na huu upuzi wao.
 
wambeke

wambeke

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2013
Messages
2,659
Points
2,000
wambeke

wambeke

JF-Expert Member
Joined Aug 30, 2013
2,659 2,000
Hapo kwenye red, usikurupuke kuandika usichokuwa na uhakika. Kupanda ndege kwa maisha leo nae unaona ujanja wakati wenzako tumezichoka!! Chezea Consultant wewe na kusafiri kila siku kwa pipa!!

Nyambafu!
haha haa haaa MANYI nimesma hivvyo kwa nnavyoona watu wanavyocoment hapa if ishu ni kuuuubwa hata hawaulizi baada ya kukataa hiyo ndege alipanda ndege gani? na alipanda daraja gani? nimetoa majibu alipanda KLM Economy Class

HAYA MWENYE MASWALI YA MAANA SIO UDAKU ANAWEZA KUNIULIZA
 
wambeke

wambeke

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2013
Messages
2,659
Points
2,000
wambeke

wambeke

JF-Expert Member
Joined Aug 30, 2013
2,659 2,000
ukinunuliwa sijui akilini wanakuweka madudu gani aisee, ccm hawa!!
wewe baba v ndio utumie akili ku-argue sio unakurupuka tu. Waziri alifanya kosa gani kubwa kubadili ndege? Unajua kwa nini alifanya hivyo? Hayaalibadili ndege kwa sababu hakutaka kulala dubai maana hakuna la maana huko
 
Mr Suggestion

Mr Suggestion

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2011
Messages
605
Points
250
Mr Suggestion

Mr Suggestion

JF-Expert Member
Joined May 2, 2011
605 250
Watanzania acheni wivu wa kike na mjadili hoja baada ya kupata upande wa pili.

MUHONGO alikata ndege baada ya kuambiwa inapita DUBAI na wanalala DUBAI.
KWA HALI YA DUNIA HII KWENDA ALGERIA MPKA ULALE NJIANI???
WATU TUNAENDA CHINA MAREKANI HATULALI NJIANI IJE KUA ALGERIA?\
MUHONGO ALISEMA HAWEZI LALA DUBAI KWA SAFARI YA ALGERA

AKABADILI NDEGE AKAPANDA KLM AKAFIKA ALGERIA SIKU HIYO HIYO NA ALIPANDA Economy Class
KWA WALE WALIOWAHI KUPITIA DUBAI WANAWEZA KUSEMA. HASA KIPINDI HUKI CHA SIKUU DUBAI NI SHIDA SANA SEHEMU YA KULALA NI SHIDA. SASA MLITAKA MUHONGO AWAFRAHISHE AKALALE DUBAI? ACHENI UJINGA
Nakubaliana na wewe kabisa, Prof hawezi kukataa hivi hivi, huenda anajua Economy class ya Emirate sio nzuri yaani 3 by 3, kama mabasi ya Zuberi.
Lakini hebu tujiulize tena inamaana hakuiona Itinerary wakati ana apply viza?
 
THE BIG SHOW

THE BIG SHOW

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2012
Messages
13,997
Points
2,000
THE BIG SHOW

THE BIG SHOW

JF-Expert Member
Joined Feb 28, 2012
13,997 2,000
Balaa kubwa kuwa na viongoz sampuli hiyo ya muhongo,

Balaa kubwa na hasara iliyopitliza
 
W

wabuyaga

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Messages
1,685
Points
1,225
W

wabuyaga

JF-Expert Member
Joined Oct 13, 2012
1,685 1,225
Ebu acha ushamba wewe, una ushahidi wa kilichowekwa hapa jukwaani?? Na kama ni kweli jee umejua sababu ya mhongo kukataa kupanda bisnes clas? Na una uhakika kakataa kupanda au kaahirisha ziara?

Mimi naona ni umbea tuu huu. Nina mengi ya kujadili.
Tatizo ni hizo degree za miamba!! Huyu jamaa ana matatizo mengi nafikiri hata wakati anafundisha alikuwa na matatizo. Mnaona kusoma tuu hakusaidii kama mtu hajaelimika!
 
L

Liky

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Messages
380
Points
250
L

Liky

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2012
380 250
Watanzania acheni wivu wa kike na mjadili hoja baada ya kupata upande wa pili.

MUHONGO alikata ndege baada ya kuambiwa inapita DUBAI na wanalala DUBAI.
KWA HALI YA DUNIA HII KWENDA ALGERIA MPKA ULALE NJIANI???
WATU TUNAENDA CHINA MAREKANI HATULALI NJIANI IJE KUA ALGERIA?\
MUHONGO ALISEMA HAWEZI LALA DUBAI KWA SAFARI YA ALGERA

AKABADILI NDEGE AKAPANDA KLM AKAFIKA ALGERIA SIKU HIYO HIYO NA ALIPANDA Economy Class
KWA WALE WALIOWAHI KUPITIA DUBAI WANAWEZA KUSEMA. HASA KIPINDI HUKI CHA SIKUU DUBAI NI SHIDA SANA SEHEMU YA KULALA NI SHIDA. SASA MLITAKA MUHONGO AWAFRAHISHE AKALALE DUBAI? ACHENI UJINGA
yan kama unachokisema ni sawa bado muhongo ana makosa tu.alikwendaje airport akiwa hajui ndege yake inapita wapi mpaka kufika aendako.mi naona your just unreasonable.
 
L

Liky

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Messages
380
Points
250
L

Liky

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2012
380 250
Watanzania acheni wivu wa kike na mjadili hoja baada ya kupata upande wa pili.

MUHONGO alikata ndege baada ya kuambiwa inapita DUBAI na wanalala DUBAI.
KWA HALI YA DUNIA HII KWENDA ALGERIA MPKA ULALE NJIANI???
WATU TUNAENDA CHINA MAREKANI HATULALI NJIANI IJE KUA ALGERIA?\
MUHONGO ALISEMA HAWEZI LALA DUBAI KWA SAFARI YA ALGERA

AKABADILI NDEGE AKAPANDA KLM AKAFIKA ALGERIA SIKU HIYO HIYO NA ALIPANDA Economy Class
KWA WALE WALIOWAHI KUPITIA DUBAI WANAWEZA KUSEMA. HASA KIPINDI HUKI CHA SIKUU DUBAI NI SHIDA SANA SEHEMU YA KULALA NI SHIDA. SASA MLITAKA MUHONGO AWAFRAHISHE AKALALE DUBAI? ACHENI UJINGA
yan kama unachokisema ni sawa bado muhongo ana makosa tu.alikwendaje airport akiwa hajui ndege yake inapita wapi mpaka kufika aendako?mi naona your just unreasonable.
 
Janjaweed

Janjaweed

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Messages
10,163
Points
2,000
Janjaweed

Janjaweed

JF-Expert Member
Joined Jan 20, 2010
10,163 2,000
Kasahau kabisa alipozaliwa, kukulia na kwamba yeye si malikitu bali mavumbi tu

mungu atamlipa very soon for he is doomed
 
white girl

white girl

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2013
Messages
1,373
Points
0
white girl

white girl

JF-Expert Member
Joined Dec 5, 2013
1,373 0
Anunue yake awe anapanda tena walimuweza siku nyingine wamuweke kwenye mizigo mbafu sanaa
 
M

MOSSAD II

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2013
Messages
3,973
Points
1,195
M

MOSSAD II

JF-Expert Member
Joined Apr 14, 2013
3,973 1,195
Ebu acha ushamba wewe, una ushahidi wa kilichowekwa hapa jukwaani?? Na kama ni kweli jee umejua sababu ya mhongo kukataa kupanda bisnes clas? Na una uhakika kakataa kupanda au kaahirisha ziara?

Mimi naona ni umbea tuu huu. Nina mengi ya kujadili.
mhongo ni mshamba tu kama wewe!!
 
UPOPO

UPOPO

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2010
Messages
2,212
Points
2,000
UPOPO

UPOPO

JF-Expert Member
Joined Dec 17, 2010
2,212 2,000
yan kama unachokisema ni sawa bado muhongo ana makosa tu.alikwendaje airport akiwa hajui ndege yake inapita wapi mpaka kufika aendako.mi naona your just unreasonable.
Umeonae!utafikiri hajui kusoma vilee!kwamba ata ticket anasomewa na secretary.Hii inaonyesha ndivyo mikataba mibovu inavyosainiwa kwani hawasomi kitu kabisa kwani angeshaona
 
MUSSA ALLAN

MUSSA ALLAN

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2013
Messages
18,947
Points
2,000
MUSSA ALLAN

MUSSA ALLAN

JF-Expert Member
Joined Oct 13, 2013
18,947 2,000
Habari habari imekaa ki- Tanzania daima.
 
Sword

Sword

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2013
Messages
864
Points
0
Sword

Sword

JF-Expert Member
Joined Apr 15, 2013
864 0
Hilo gazeti la tanzaniadaima linafahamika kua ni la chadema hivyo chochote kikifanywa na ccm hata kama ni kizuri lenyewe hua ni kuponda tuuu, shame on all the editors of that tabloid. Mnashindwa kua objective, ninapata mashaka na elimu yenu maana nyinyi sio PR wa chama bali mpo kutuhabarisha wananchi sasa kila kukicha nyie pumba tu, basi fanyeni hilo gazeti mligeuze liwe kama lile la lumumba ili tujue moja kwamba nyinyi ni PR wa cdm

WAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, amegoma kusafiri na Watanzania wenzake kwenda nchini Algeria kwa daraja la kawaida baada ya kukosa daraja la kwanza, hivyo kuahirisha safari yake kwa siku moja, Tanzania Daima limebaini.

Profesa Muhongo ambaye amekuwa akionyesha dharau kwa Watanzania mara kadhaa, aligoma kusafiri katika Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere, Dar es Salaam Jumapili ya Novemba 24, 2013, saa 10.45 akiwa na wenzake tisa kwenda kwenye safari ya kikazi nchini Algeria alikoenda baadaye.


Moja ya kauli ya dharau iliyotolewa hivi karibuni na Waziri Muhongo ni pale aliposema wafanyabiashara Watanzania wana uwezo wa kuwekeza kwenye soda na juisi badala ya gesi na pia aliwahi kuwashambulia viongozi wa dini kwa kuwaita waongo.


Uchunguzi wa Tanzania Daima uliofanyika kwa siku kadhaa sasa, umethibitisha kwamba Muhongo alikuwa aondoke na ndege ya shirika la ndege la Emirates namba EK 726 kutoka Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Nyerere kupitia Dubai kwenda Algeria akiwa na tiketi ya daraja la kawaida bila kujua kabla ya kufika uwanjani hapo na kisha kuanza kumfokea kila aliyekuwa anamsemesha.


“Tiketi yake na wenzake kumi ilikuwa ni Economy Class (Daraja la Kawaida), lakini akakataa akitaka asafiri kwa First Class (Daraja la Kwanza). Alibembelezwa na wenzake na wafanyakazi wa Emirates na wale wa Uwanja wa Ndege lakini akagoma huku akifoka na wenzake wakataka kuahirisha safari.

Ikawa tena ni sisi kuwaomba wasafiri ili Bwana Mkubwa (Muhongo) atafutiwe nafasi kwa daraja analotaka.

“Walimbembeleza wakamwambia kwa kutumia ‘millage’ ya safari zake watambadilishia akiwa ndani ya ndege na kumuweka daraja la kwanza lakini alionekana ameshakuwa mkali na hakuwa anamsikiliza yeyote.


“Baadaye tulifanikiwa kuwashawishi wenzake kuendelea na safari na yeye sijui aliondoka na ndege gani tena maana wakubwa wetu wana mambo sana,” anasema ofisa mmoja uwanjani hapo.

Taarifa za awali kuhusu sakata hili, ziliripotiwa siku hiyo katika mtandao wa jamiiforums.com zikieleza kwamba kitendo cha Waziri Muhongo cha kususia safari hiyo, kiliwakera baadhi ya wasafiri wakiwamo raia wa kigeni ambao walishangazwa na hatua hiyo ya kiongozi wa nchi maskini inayotegemea misaada kulazimisha kusafiri kwa daraja la kwanza, daraja ambalo viongozi wa mataifa makubwa hawaruhusiwi kusafiri bila sababu maalumu.

Taarifa hiyo kwenye mtandao wa JamiiForums. Com iliripotiwa hivi: “Kweli viongozi wa nchi hii wanatia aibu, wakati mawaziri wa Uingereza wanakataa First Class, hapa kwetu kimetokea kioja. Waziri wenu wa Nishati na Madini (Muhongo) ambaye anazidi kutulaza na joto na giza leo amewaacha hoi Watanzania pale alipofika mpaka Airport na akiwa anaboard akakuta anawekwa sehemu ya abiria wa daraja la kati, baada ya kuambiwa hayuko First Class akagoma na kutoka nje ya mlango. Wakati hayo yakiendelea kumbe ana wenzake zaidi ya tisa wako economy na wawili Bussiness Class, ghafla nao wakaanza kushuka.


“Hapo ndipo hekima za mmoja wa wahusika wa Airline (Emirates) akawaomba hao waende ili yeye akabadilishe aje kesho yake.”

“Jamani kweli First Class inakushushia aibu hivi Profesa na bado unasema maisha magumu Tanzania!? Inaonekana zile buti za bora ulizivalia ukiwa form V na haya ndio madhara yake, mnapewa vyeo wakati maisha yalishawapiga; mnatafuta muafaka na Yesu mkiwa madarakani,” anaeleza mtu aliyewasilisha mada husika akijulikana kwa jina la Basiasi.

Basiasi alihoji sababu ya abiria wenzake ambao nao walikuwa wakisafiri kikazi kutaka kushuka na kusababisha hasara kwa serikali au wafadhili waliokata tiketi hizo.

Kwa utaratibu wa kawaida abiria anayeahirisha safari baada ya kuwa ameshaingia ndani ya eneo la kusafiria (boarding) anaweza kupoteza kabisa tiketi au kulipishwa fedha nyingi zinazoweza kuwa sawa na kununua tiketi mpya.

“Hebu kuweni wastaarabu, sasa wale watu tisa walitaka kuwashusha kwa nini na kama wamekwenda, mlishindwa kuwaambia wabaki mpaka mkaanza kuleta aibu uwanjani? Inaonekena ndege mmeanza kupanda uzeeni; najiuliza kivipi unaletewa tiketi hata kama na ‘travel agency’ halafu unashindwa kuuliza au kukagua mpaka unaenda uwanjani na unapewa ‘boarding pass’ bado unashindwa kukagua ipi ‘bussiness class’ na ipi ‘first class’!” anahoji Basiasi.


Abiria mmoja aliyenukuliwa na Jamiiforums alisema kwa waziri wa nchi kama Uingereza anatakiwa kutoa maelezo ya sababu za kusafiri na daraja la kwanza (first class) ikiwa atalazimika kufanya hivyo, vingine viongozi husafiri kwa madaraja ya kawaida.


Wakati Waziri Muhongo akisusia ndege kwa kukosa nafasi ya kusafiri na daraja la kwanza, baadhi ya mawaziri wanaofanya ziara mikoani na kusafiri kwa ndege, hulazimika kuyaagiza mashangingi yao kutoka Dar es Salaam hadi katika mikoa wanayokwenda kufanya ziara hizo hata kama yatatumika kwa siku moja.
[/QUOTE]
 
Sword

Sword

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2013
Messages
864
Points
0
Sword

Sword

JF-Expert Member
Joined Apr 15, 2013
864 0
mhongo ni mshamba tu kama wewe!!
Siwezi kuwashangaa saaaana katika hili maana ni uhuru wenu kuongea, kuhusu hili la Muhongo, mimi ninasimama kutamka hadharani kua ilivyoripotiwa na hilo gazeti la udaku si kweli, Muhongo hakukataa kusafiri na hiyo economy class, na alisafiri siku hiyo hiyo.

Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni kwa hili Muhongo hana kosa hata kidogo, hivi kwa akili yako kuna umuhimu wa kupitia dubai ulale huko wakati hapo Algeria ni karibu tu, tena tunapaswa kumpongeza kwa kuonesha uzalendo wake maana hakutaka kuharibu fedha ya serikali kwa kumgharamikia malazi ya hapo dubai ambapo atakuwa kama mtalii tu na hivyo kugoma na baadae alipatiwa ndege ambayo ilimuwezesha kufika huko alipokua akienda siku hiyo hiyo, yule ni msomi bhana sio kama.....
 

Forum statistics

Threads 1,334,718
Members 512,087
Posts 32,484,445
Top