Majanga: Waziri Muhongo Asusia Ndege, Kisa, Kakosa Daraja La Kwanza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Majanga: Waziri Muhongo Asusia Ndege, Kisa, Kakosa Daraja La Kwanza

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MNYOO JOGOO, Dec 6, 2013.

 1. M

  MNYOO JOGOO Senior Member

  #1
  Dec 6, 2013
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 195
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  WAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, amegoma kusafiri na Watanzania wenzake kwenda nchini Algeria kwa daraja la kawaida baada ya kukosa daraja la kwanza, hivyo kuahirisha safari yake kwa siku moja, Tanzania Daima limebaini.

  Profesa Muhongo ambaye amekuwa akionyesha dharau kwa Watanzania mara kadhaa, aligoma kusafiri katika Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere, Dar es Salaam Jumapili ya Novemba 24, 2013, saa 10.45 akiwa na wenzake tisa kwenda kwenye safari ya kikazi nchini Algeria alikoenda baadaye.Moja ya kauli ya dharau iliyotolewa hivi karibuni na Waziri Muhongo ni pale aliposema wafanyabiashara Watanzania wana uwezo wa kuwekeza kwenye soda na juisi badala ya gesi na pia aliwahi kuwashambulia viongozi wa dini kwa kuwaita waongo.

  Uchunguzi wa Tanzania Daima uliofanyika kwa siku kadhaa sasa, umethibitisha kwamba Muhongo alikuwa aondoke na ndege ya shirika la ndege la Emirates namba EK 726 kutoka Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Nyerere kupitia Dubai kwenda Algeria akiwa na tiketi ya daraja la kawaida bila kujua kabla ya kufika uwanjani hapo na kisha kuanza kumfokea kila aliyekuwa anamsemesha.

  "Tiketi yake na wenzake kumi ilikuwa ni Economy Class (Daraja la Kawaida), lakini akakataa akitaka asafiri kwa First Class (Daraja la Kwanza). Alibembelezwa na wenzake na wafanyakazi wa Emirates na wale wa Uwanja wa Ndege lakini akagoma huku akifoka na wenzake wakataka kuahirisha safari.

  Ikawa tena ni sisi kuwaomba wasafiri ili Bwana Mkubwa (Muhongo) atafutiwe nafasi kwa daraja analotaka.
  "Walimbembeleza wakamwambia kwa kutumia ‘millage' ya safari zake watambadilishia akiwa ndani ya ndege na kumuweka daraja la kwanza lakini alionekana ameshakuwa mkali na hakuwa anamsikiliza yeyote."Baadaye tulifanikiwa kuwashawishi wenzake kuendelea na safari na yeye sijui aliondoka na ndege gani tena maana wakubwa wetu wana mambo sana," anasema ofisa mmoja uwanjani hapo.

  Taarifa za awali kuhusu sakata hili, ziliripotiwa siku hiyo katika mtandao wa jamiiforums.com zikieleza kwamba kitendo cha Waziri Muhongo cha kususia safari hiyo, kiliwakera baadhi ya wasafiri wakiwamo raia wa kigeni ambao walishangazwa na hatua hiyo ya kiongozi wa nchi maskini inayotegemea misaada kulazimisha kusafiri kwa daraja la kwanza, daraja ambalo viongozi wa mataifa makubwa hawaruhusiwi kusafiri bila sababu maalumu.

  Taarifa hiyo kwenye mtandao wa JamiiForums. Com iliripotiwa hivi: "Kweli viongozi wa nchi hii wanatia aibu, wakati mawaziri wa Uingereza wanakataa First Class, hapa kwetu kimetokea kioja. Waziri wenu wa Nishati na Madini (Muhongo) ambaye anazidi kutulaza na joto na giza leo amewaacha hoi Watanzania pale alipofika mpaka Airport na akiwa anaboard akakuta anawekwa sehemu ya abiria wa daraja la kati, baada ya kuambiwa hayuko First Class akagoma na kutoka nje ya mlango. Wakati hayo yakiendelea kumbe ana wenzake zaidi ya tisa wako economy na wawili Bussiness Class, ghafla nao wakaanza kushuka.

  "Hapo ndipo hekima za mmoja wa wahusika wa Airline (Emirates) akawaomba hao waende ili yeye akabadilishe aje kesho yake." "Jamani kweli First Class inakushushia aibu hivi Profesa na bado unasema maisha magumu Tanzania!? Inaonekana zile buti za bora ulizivalia ukiwa form V na haya ndio madhara yake, mnapewa vyeo wakati maisha yalishawapiga; mnatafuta muafaka na Yesu mkiwa madarakani," anaeleza mtu aliyewasilisha mada husika akijulikana kwa jina la Basiasi.

  Basiasi alihoji sababu ya abiria wenzake ambao nao walikuwa wakisafiri kikazi kutaka kushuka na kusababisha hasara kwa serikali au wafadhili waliokata tiketi hizo. Kwa utaratibu wa kawaida abiria anayeahirisha safari baada ya kuwa ameshaingia ndani ya eneo la kusafiria (boarding) anaweza kupoteza kabisa tiketi au kulipishwa fedha nyingi zinazoweza kuwa sawa na kununua tiketi mpya.

  "Hebu kuweni wastaarabu, sasa wale watu tisa walitaka kuwashusha kwa nini na kama wamekwenda, mlishindwa kuwaambia wabaki mpaka mkaanza kuleta aibu uwanjani? Inaonekena ndege mmeanza kupanda uzeeni; najiuliza kivipi unaletewa tiketi hata kama na ‘travel agency' halafu unashindwa kuuliza au kukagua mpaka unaenda uwanjani na unapewa ‘boarding pass' bado unashindwa kukagua ipi ‘bussiness class' na ipi ‘first class'!" anahoji Basiasi. Abiria mmoja aliyenukuliwa na Jamiiforums alisema kwa waziri wa nchi kama Uingereza anatakiwa kutoa maelezo ya sababu za kusafiri na daraja la kwanza (first class) ikiwa atalazimika kufanya hivyo, vingine viongozi husafiri kwa madaraja ya kawaida.

  Wakati Waziri Muhongo akisusia ndege kwa kukosa nafasi ya kusafiri na daraja la kwanza, baadhi ya mawaziri wanaofanya ziara mikoani na kusafiri kwa ndege, hulazimika kuyaagiza mashangingi yao kutoka Dar es Salaam hadi katika mikoa wanayokwenda kufanya ziara hizo hata kama yatatumika kwa siku moja.
   
 2. k

  kill JF-Expert Member

  #2
  Dec 6, 2013
  Joined: May 21, 2013
  Messages: 1,833
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mawaziri wa ccm Mungu amewanyima busara haya umeona ....
   
 3. M

  MNYOO JOGOO Senior Member

  #3
  Dec 6, 2013
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 195
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Yani inakereketa kwa kweli
   
 4. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #4
  Dec 6, 2013
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,652
  Trophy Points: 280
  What a shame!
   
 5. sixgates

  sixgates JF-Expert Member

  #5
  Dec 6, 2013
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 3,972
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Umbea huu, watz fanyeni kazi
   
 6. K

  Kagalala JF-Expert Member

  #6
  Dec 6, 2013
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 2,357
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Unajua wewe ndugu yangu wakati mwingi unatia aibu, hata kama akili yako ni ndogo kiasi cha kuipenda CCM lkn ukumbuke kuna mambo ambayo ni ya msingi kwa taifa letu ambayo hata km unapenda CCM inabidi kuyakemea.
   
 7. Moscow

  Moscow Member

  #7
  Dec 6, 2013
  Joined: Nov 24, 2013
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  WAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, amegoma kusafiri na Watanzania wenzake kwenda nchini Algeria kwa daraja la kawaida baada ya kukosa daraja la kwanza, hivyo kuahirisha safari yake kwa siku moja, Tanzania Daima limebaini.

  Profesa Muhongo ambaye amekuwa akionyesha dharau kwa Watanzania mara kadhaa, aligoma kusafiri katika Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere, Dar es Salaam Jumapili ya Novemba 24, 2013, saa 10.45 akiwa na wenzake tisa kwenda kwenye safari ya kikazi nchini Algeria alikoenda baadaye.Moja ya kauli ya dharau iliyotolewa hivi karibuni na Waziri Muhongo ni pale aliposema wafanyabiashara Watanzania wana uwezo wa kuwekeza kwenye soda na juisi badala ya gesi na pia aliwahi kuwashambulia viongozi wa dini kwa kuwaita waongo.

  Uchunguzi wa Tanzania Daima uliofanyika kwa siku kadhaa sasa, umethibitisha kwamba Muhongo alikuwa aondoke na ndege ya shirika la ndege la Emirates namba EK 726 kutoka Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Nyerere kupitia Dubai kwenda Algeria akiwa na tiketi ya daraja la kawaida bila kujua kabla ya kufika uwanjani hapo na kisha kuanza kumfokea kila aliyekuwa anamsemesha.

  "Tiketi yake na wenzake kumi ilikuwa ni Economy Class (Daraja la Kawaida), lakini akakataa akitaka asafiri kwa First Class (Daraja la Kwanza). Alibembelezwa na wenzake na wafanyakazi wa Emirates na wale wa Uwanja wa Ndege lakini akagoma huku akifoka na wenzake wakataka kuahirisha safari.

  Ikawa tena ni sisi kuwaomba wasafiri ili Bwana Mkubwa (Muhongo) atafutiwe nafasi kwa daraja analotaka.
  "Walimbembeleza wakamwambia kwa kutumia ‘millage' ya safari zake watambadilishia akiwa ndani ya ndege na kumuweka daraja la kwanza lakini alionekana ameshakuwa mkali na hakuwa anamsikiliza yeyote."Baadaye tulifanikiwa kuwashawishi wenzake kuendelea na safari na yeye sijui aliondoka na ndege gani tena maana wakubwa wetu wana mambo sana," anasema ofisa mmoja uwanjani hapo.

  Taarifa za awali kuhusu sakata hili, ziliripotiwa siku hiyo katika mtandao wa jamiiforums.com zikieleza kwamba kitendo cha Waziri Muhongo cha kususia safari hiyo, kiliwakera baadhi ya wasafiri wakiwamo raia wa kigeni ambao walishangazwa na hatua hiyo ya kiongozi wa nchi maskini inayotegemea misaada kulazimisha kusafiri kwa daraja la kwanza, daraja ambalo viongozi wa mataifa makubwa hawaruhusiwi kusafiri bila sababu maalumu.

  Taarifa hiyo kwenye mtandao wa JamiiForums. Com iliripotiwa hivi: "Kweli viongozi wa nchi hii wanatia aibu, wakati mawaziri wa Uingereza wanakataa First Class, hapa kwetu kimetokea kioja. Waziri wenu wa Nishati na Madini (Muhongo) ambaye anazidi kutulaza na joto na giza leo amewaacha hoi Watanzania pale alipofika mpaka Airport na akiwa anaboard akakuta anawekwa sehemu ya abiria wa daraja la kati, baada ya kuambiwa hayuko First Class akagoma na kutoka nje ya mlango. Wakati hayo yakiendelea kumbe ana wenzake zaidi ya tisa wako economy na wawili Bussiness Class, ghafla nao wakaanza kushuka.

  "Hapo ndipo hekima za mmoja wa wahusika wa Airline (Emirates) akawaomba hao waende ili yeye akabadilishe aje kesho yake." "Jamani kweli First Class inakushushia aibu hivi Profesa na bado unasema maisha magumu Tanzania!? Inaonekana zile buti za bora ulizivalia ukiwa form V na haya ndio madhara yake, mnapewa vyeo wakati maisha yalishawapiga; mnatafuta muafaka na Yesu mkiwa madarakani," anaeleza mtu aliyewasilisha mada husika akijulikana kwa jina la Basiasi.

  Basiasi alihoji sababu ya abiria wenzake ambao nao walikuwa wakisafiri kikazi kutaka kushuka na kusababisha hasara kwa serikali au wafadhili waliokata tiketi hizo. Kwa utaratibu wa kawaida abiria anayeahirisha safari baada ya kuwa ameshaingia ndani ya eneo la kusafiria (boarding) anaweza kupoteza kabisa tiketi au kulipishwa fedha nyingi zinazoweza kuwa sawa na kununua tiketi mpya.

  "Hebu kuweni wastaarabu, sasa wale watu tisa walitaka kuwashusha kwa nini na kama wamekwenda, mlishindwa kuwaambia wabaki mpaka mkaanza kuleta aibu uwanjani? Inaonekena ndege mmeanza kupanda uzeeni; najiuliza kivipi unaletewa tiketi hata kama na ‘travel agency' halafu unashindwa kuuliza au kukagua mpaka unaenda uwanjani na unapewa ‘boarding pass' bado unashindwa kukagua ipi ‘bussiness class' na ipi ‘first class'!" anahoji Basiasi. Abiria mmoja aliyenukuliwa na Jamiiforums alisema kwa waziri wa nchi kama Uingereza anatakiwa kutoa maelezo ya sababu za kusafiri na daraja la kwanza (first class) ikiwa atalazimika kufanya hivyo, vingine viongozi husafiri kwa madaraja ya kawaida.

  Wakati Waziri Muhongo akisusia ndege kwa kukosa nafasi ya kusafiri na daraja la kwanza, baadhi ya mawaziri wanaofanya ziara mikoani na kusafiri kwa ndege, hulazimika kuyaagiza mashangingi yao kutoka Dar es Salaam hadi katika mikoa wanayokwenda kufanya ziara hizo hata kama yatatumika kwa siku moja.
   
 8. sixgates

  sixgates JF-Expert Member

  #8
  Dec 6, 2013
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 3,972
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Ebu acha ushamba wewe, una ushahidi wa kilichowekwa hapa jukwaani?? Na kama ni kweli jee umejua sababu ya mhongo kukataa kupanda bisnes clas? Na una uhakika kakataa kupanda au kaahirisha ziara?

  Mimi naona ni umbea tuu huu. Nina mengi ya kujadili.
   
 9. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #9
  Dec 6, 2013
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 145
  mulongo-300x169.jpg

  WAZIRI wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, amegoma kusafiri na Watanzania wenzake kwenda nchini Algeria kwa daraja la kawaida baada ya kukosa daraja la kwanza, hivyo kuahirisha safari yake kwa siku moja, Tanzania Daima limebaini.

  Profesa Muhongo ambaye amekuwa akionyesha dharau kwa Watanzania mara kadhaa, aligoma kusafiri katika Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere, Dar es Salaam Jumapili ya Novemba 24, 2013, saa 10.45 akiwa na wenzake tisa kwenda kwenye safari ya kikazi nchini Algeria alikoenda baadaye.

  Moja ya kauli ya dharau iliyotolewa hivi karibuni na Waziri Muhongo ni pale aliposema wafanyabiashara Watanzania wana uwezo wa kuwekeza kwenye soda na juisi badala ya gesi na pia aliwahi kuwashambulia viongozi wa dini kwa kuwaita waongo.

  Uchunguzi wa Tanzania Daima uliofanyika kwa siku kadhaa sasa, umethibitisha kwamba Muhongo alikuwa aondoke na ndege ya shirika la ndege la Emirates namba EK 726 kutoka Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Nyerere kupitia Dubai kwenda Algeria akiwa na tiketi ya daraja la kawaida bila kujua kabla ya kufika uwanjani hapo na kisha kuanza kumfokea kila aliyekuwa anamsemesha.

  “Tiketi yake na wenzake kumi ilikuwa ni Economy Class (Daraja la Kawaida), lakini akakataa akitaka asafiri kwa First Class (Daraja la Kwanza). Alibembelezwa na wenzake na wafanyakazi wa Emirates na wale wa Uwanja wa Ndege lakini akagoma huku akifoka na wenzake wakataka kuahirisha safari.

  Ikawa tena ni sisi kuwaomba wasafiri ili Bwana Mkubwa (Muhongo) atafutiwe nafasi kwa daraja analotaka.

  “Walimbembeleza wakamwambia kwa kutumia ‘millage’ ya safari zake watambadilishia akiwa ndani ya ndege na kumuweka daraja la kwanza lakini alionekana ameshakuwa mkali na hakuwa anamsikiliza yeyote.

  “Baadaye tulifanikiwa kuwashawishi wenzake kuendelea na safari na yeye sijui aliondoka na ndege gani tena maana wakubwa wetu wana mambo sana,” anasema ofisa mmoja uwanjani hapo.

  Taarifa za awali kuhusu sakata hili, ziliripotiwa siku hiyo katika mtandao wa jamiiforums.com zikieleza kwamba kitendo cha Waziri Muhongo cha kususia safari hiyo, kiliwakera baadhi ya wasafiri wakiwamo raia wa kigeni ambao walishangazwa na hatua hiyo ya kiongozi wa nchi maskini inayotegemea misaada kulazimisha kusafiri kwa daraja la kwanza, daraja ambalo viongozi wa mataifa makubwa hawaruhusiwi kusafiri bila sababu maalumu.

  Taarifa hiyo kwenye mtandao wa JamiiForums. Com iliripotiwa hivi: “Kweli viongozi wa nchi hii wanatia aibu, wakati mawaziri wa Uingereza wanakataa First Class, hapa kwetu kimetokea kioja. Waziri wenu wa Nishati na Madini (Muhongo) ambaye anazidi kutulaza na joto na giza leo amewaacha hoi Watanzania pale alipofika mpaka Airport na akiwa anaboard akakuta anawekwa sehemu ya abiria wa daraja la kati, baada ya kuambiwa hayuko First Class akagoma na kutoka nje ya mlango. Wakati hayo yakiendelea kumbe ana wenzake zaidi ya tisa wako economy na wawili Bussiness Class, ghafla nao wakaanza kushuka.

  “Hapo ndipo hekima za mmoja wa wahusika wa Airline (Emirates) akawaomba hao waende ili yeye akabadilishe aje kesho yake.”

  “Jamani kweli First Class inakushushia aibu hivi Profesa na bado unasema maisha magumu Tanzania!? Inaonekana zile buti za bora ulizivalia ukiwa form V na haya ndio madhara yake, mnapewa vyeo wakati maisha yalishawapiga; mnatafuta muafaka na Yesu mkiwa madarakani,” anaeleza mtu aliyewasilisha mada husika akijulikana kwa jina la Basiasi.

  Basiasi alihoji sababu ya abiria wenzake ambao nao walikuwa wakisafiri kikazi kutaka kushuka na kusababisha hasara kwa serikali au wafadhili waliokata tiketi hizo.

  Kwa utaratibu wa kawaida abiria anayeahirisha safari baada ya kuwa ameshaingia ndani ya eneo la kusafiria (boarding) anaweza kupoteza kabisa tiketi au kulipishwa fedha nyingi zinazoweza kuwa sawa na kununua tiketi mpya.

  “Hebu kuweni wastaarabu, sasa wale watu tisa walitaka kuwashusha kwa nini na kama wamekwenda, mlishindwa kuwaambia wabaki mpaka mkaanza kuleta aibu uwanjani? Inaonekena ndege mmeanza kupanda uzeeni; najiuliza kivipi unaletewa tiketi hata kama na ‘travel agency’ halafu unashindwa kuuliza au kukagua mpaka unaenda uwanjani na unapewa ‘boarding pass’ bado unashindwa kukagua ipi ‘bussiness class’ na ipi ‘first class’!” anahoji Basiasi.

  Abiria mmoja aliyenukuliwa na Jamiiforums alisema kwa waziri wa nchi kama Uingereza anatakiwa kutoa maelezo ya sababu za kusafiri na daraja la kwanza (first class) ikiwa atalazimika kufanya hivyo, vingine viongozi husafiri kwa madaraja ya kawaida.

  Wakati Waziri Muhongo akisusia ndege kwa kukosa nafasi ya kusafiri na daraja la kwanza, baadhi ya mawaziri wanaofanya ziara mikoani na kusafiri kwa ndege, hulazimika kuyaagiza mashangingi yao kutoka Dar es Salaam hadi katika mikoa wanayokwenda kufanya ziara hizo hata kama yatatumika kwa siku moja.
   
 10. Moscow

  Moscow Member

  #10
  Dec 6, 2013
  Joined: Nov 24, 2013
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Shenz type. umevimbiwa na hela za rushwa ukajisahau miaka chache iliyopita ulikupwa unapangusa makalio na majani ! CDM wakupige chini tu, na wala hatukutaki CCM. ulitumika kama condom kazi yako kwishney............One time use, na aborted so dont need you !
   
 11. Moscow

  Moscow Member

  #11
  Dec 6, 2013
  Joined: Nov 24, 2013
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ben Saa 8. Huko Chadema, mimi CCM damu....Nakwambia, kama kuna mabadiliko kwenye baraza la mawaziri na huyu mtu akabaki kwenye hilo baraza, natupa kadi navaa gwanda. i swear to God !
   
 12. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #12
  Dec 6, 2013
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,652
  Trophy Points: 280
  Alihojiwa na JamiiForums!??
   
 13. Moscow

  Moscow Member

  #13
  Dec 6, 2013
  Joined: Nov 24, 2013
  Messages: 51
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ben Saa 8. Huko Chadema, mimi CCM damu....Nakwambia, kama kuna mabadiliko kwenye baraza la mawaziri na huyu mtu akabaki kwenye hilo baraza, natupa kadi navaa gwanda. I swear to God !

  Utaifa kwanza !

  Huyu mtu kazidi matusi kwa watanzania. Kwani kabla ya uwaziri alikuwa anapanda nini, wakati akeidna Musoma alikuwa anapanda basi la kawaida?
   
 14. UPOPO

  UPOPO JF-Expert Member

  #14
  Dec 6, 2013
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 1,246
  Likes Received: 505
  Trophy Points: 280
  Mmm hii kali anyway mimi namsifu Wasira kwani siku ya Jpili natoka Mwanza baba wa watu alikaa kwenye zile siti za mbele pembeni wala hakutaka kumsumbua mtu pamoja na uwaziri wake .Big up Wasira mfundishe mwenzio ajishushe kidogo tu asinge kufa au kukonda wote tu binadam
   
 15. wambeke

  wambeke JF-Expert Member

  #15
  Dec 6, 2013
  Joined: Aug 30, 2013
  Messages: 2,503
  Likes Received: 2,341
  Trophy Points: 280
  Watanzania acheni wivu wa kike na mjadili hoja baada ya kupata upande wa pili.

  MUHONGO alikata ndege baada ya kuambiwa inapita DUBAI na wanalala DUBAI.
  KWA HALI YA DUNIA HII KWENDA ALGERIA MPKA ULALE NJIANI???
  WATU TUNAENDA CHINA MAREKANI HATULALI NJIANI IJE KUA ALGERIA?\
  MUHONGO ALISEMA HAWEZI LALA DUBAI KWA SAFARI YA ALGERA

  AKABADILI NDEGE AKAPANDA KLM AKAFIKA ALGERIA SIKU HIYO HIYO NA ALIPANDA Economy Class
  KWA WALE WALIOWAHI KUPITIA DUBAI WANAWEZA KUSEMA. HASA KIPINDI HUKI CHA SIKUU DUBAI NI SHIDA SANA SEHEMU YA KULALA NI SHIDA. SASA MLITAKA MUHONGO AWAFRAHISHE AKALALE DUBAI? ACHENI UJINGA
   
 16. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #16
  Dec 6, 2013
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 11,980
  Likes Received: 1,618
  Trophy Points: 280
  Mkuu Moscow hivi posho za lumumba zinatoka lini na lini?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. I

  IDUNDA JF-Expert Member

  #17
  Dec 6, 2013
  Joined: Oct 31, 2013
  Messages: 458
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  huyu waziri ni mpiga kazi mzuri, tuache utani, tusipende kumchafua na kumkatisha tamaa, kizuri chajiuza kibaya chajitembeza. mnyonge mnyongeni lakin haki yake mpeni. SHERIA KWA KISWAHILI
   
 18. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #18
  Dec 6, 2013
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 145
  Ana majivuno, ana dharau, mpenda sifa, asiyeheshimu wenzake na wananchi, dalili za ubinafsi na kupenda makuu
   
 19. Avanti

  Avanti JF-Expert Member

  #19
  Dec 6, 2013
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 1,209
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Kama alifanya booking ya first class why abadilishiwe?
   
 20. Manyi

  Manyi JF-Expert Member

  #20
  Dec 6, 2013
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 3,256
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Yaani watu wasiomjua huyu Prof. ndo wanashtuka, huyu ni kama chizi tu, hata familia yake Musoma kaitelekeza, na pia akienda Musoma anaishia kukaa kwa ndugu zake, hana Nyumba DAr wala Musoma, leo anajifanya kukataa kupanda B'ness Class.

  Pamoja na U professor wake, bado ana njaa tu huyo!
   
Loading...