Museven yupo sahahi na c muongo kachukua hatua mapema Sana na mpaka sasa raia wake wote wapo ndani, museven anajali afya za RAIA wake sio uchumi , uchumi wenyewe bila RAIA wenye afya hauna maana yeyoteMseveni anatuchafua ,ni kama ina maana wageni ndo wanaingiza corona kwao hawaambukizani na cases haipandi ila wanapona ,huyu mzee ni mwongo
♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
Mimi sio kipofu kuna mahali ndio nini kama serikali imechangia shilingi ngapi?Kuna mahali wanatoa michango. Unataka kutafuniwa kila kitu?
Sasa kama yupo makini si afunge mipaka?Museveni yupo makini sana kuwalinda Raia wake, na ndiyo jukumu la kwanza muhimu kuliko yoyote kwa serijali yoyote Duniani.
Majirani wanarudisha nyuma juhudi zake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hapo ndio ume-prove kama wewe ni kipofu. Mbio za mwenge zilisitishwa sijui lini, sherehe za Muungano zimesitishwa sijui lini na mpunga wote huo hufahamu umekwenda wapi vile vile hata wewe kama unataka uchangia, changia kuna wizara ambayo inafanya hilo jukumu. Amka kutoka usingizini.Mimi sio kipofu kuna mahali ndio nini kama serikali imechangia shilingi ngapi?
Itaingia akilini tuHaiingii akilini kwamba madereva wote wa Tanzania wana corona.
Senti bai yuzingi tecno T301
Kejeli kwa mambo mazito ndio utamaduni wetuMKUU SISI NI DONOR COUNTRY AFYA TUFANYE DONATION YA CORONA KWANZA
Mkuu kwani corona ilianzia Uganda au Tanzania? Au unadhani inasafiri yenyewe? Au ulivyokuwa unasikia watu wakimtaka Magufuli afunge mipaka wewe ulikuwa unaelewa nini?Mseveni anatuchafua ,ni kama ina maana wageni ndo wanaingiza corona kwao hawaambukizani na cases haipandi ila wanapona ,huyu mzee ni mwongo
♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
Mkuu umeambiwa walipimwa madereva wangapi jumla?Kuna kitu kinasukwa, haiwezekani madereva wote wawe na Corona.
Tanzania itaibuka kidedea,juzi ameteuliwa karibu mkuu ili atuletee data za waliopona kwa kulala tu pale amanaMwisho Wa vita tutajua mshindi nani, tuache akiba ya maneno
Kweli mkuu,chapa kazi,waambie na daktari wa Amana warudi kuchapa kaziUgonjwa wa corona ni wa kawaida tu ,Uganda waache kutesa Wananchi wake kwa kufungia Ndani
Yaani wagonjwa wanatoroka hospitali halafu wewe unasema hela za mwenge zipo huko hivi inaingia akiliniSasa hapo ndio ume-prove kama wewe ni kipofu. Mbio za mwenge zilisitishwa sijui lini, sherehe za Muungano zimesitishwa sijui lini na mpunga wote huo hufahamu umekwenda wapi vile vile hata wewe kama unataka uchangia, changia kuna wizara ambayo inafanya hilo jukumu. Amka kutoka usingizini.
yaani wagonjwa wanatoroka hospitali halafu wewe unasema hela za mwenge zipo huko hivi inaingia akilini
cutelove, hilo ndo jibu kwahiyo pigia tu mstari!Hii inakaaje katika image za kimataifa kwamba Tanzania tunamaambikizi makubwa sana tofauti na inavyotangazwa na Serikali ya Tanzania?
Mi nadahani wanajaribu kutengeneza mazingira kuwa wao wako salama sana...Museveni yupo makini sana kuwalinda Raia wake, na ndiyo jukumu la kwanza muhimu kuliko yoyote kwa serijali yoyote Duniani.
Majirani wanarudisha nyuma juhudi zake.
Sent using Jamii Forums mobile app
hao sita waliokutwa na covid ndio madereva wote?Kuna kitu kinasukwa, haiwezekani madereva wote wawe na Corona.
Museveni yupo makini sana kuwalinda Raia wake, na ndiyo jukumu la kwanza muhimu kuliko yoyote kwa serijali yoyote Duniani.
Majirani wanarudisha nyuma juhudi zake.
Sent using Jamii Forums mobile app