Majanga: Miradi ya Magufuli yote imekwama

Majanga: Miradi ya Magufuli yote imekwama

Tuongee ukweli... Magufuli is doing good on infrastructure, ubaya wake uko kwenye demokrasia
You're missing the point.

"Doing good on infrastructure" that is bound to get stuck because of his stubbornness? How is that is "being good"?
 
Mbona meli za ziwa Victoria zimeshakamilika na Kuna majaribio ya mwisho yanatarajiwa zianze kutoa huduma?

Kuhusu Stiegler's gorge, mbona kazi inaendelea mpka Sasa?

Kiufupi mngefurahi Sana kuona miradi ya maendeleo ikisimama badala ya kukamilika inufaishe Watanzania wote.

Mnafurahi kutoboa mtumbwi mlioupanda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bomba la mafuta, SGR, Bwawa la Umeme, Bandari bagamoyo, Daraja Busisi, Meli mpya ziwa victoria, Tanganyika, Miaka 5 inaisha miradi yote mikubwa haina mwelekeo mzuri.

Ujenzi wa barabara kikwete alijenga maelfu ya km! ndani ya miaka 5 kuna barabara kipindi cha kikwete zilikuwa zimeashaanza kujengwa ila cha kushangaza mwendelezo hakuna mpaka leo hazijakamilika mika 5 inayeyuka. mfano Tabora - Katavi - Kigoma

Nchi ipo hoi kiuchumi kama miaka 5 tumeshindwa kukamilisha ujenzi wa Meli Mpya taifa linahitaji maombi Magufuli kakwama

Ni majonzi kwa taifa.
Magufuli alitangaza wazi wazi kipaumbele chake ni kufuta upinzani nchini pamoja na kuwa kipaumbele chake na lenyewe limemshinda ameamua kwenda kujificha chato.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona meli za ziwa Victoria zimeshakamilika na Kuna majaribio ya mwisho yanatarajiwa zianze kutoa huduma?

Kuhusu Stiegler's gorge, mbona kazi inaendelea mpka Sasa?

Kiufupi mngefurahi Sana kuona miradi ya maendeleo ikisimama badala ya kukamilika inufaishe Watanzania wote.

Mnafurahi kutoboa mtumbwi mlioupanda.

Sent using Jamii Forums mobile app
hata wewe shangaa.
wanakurupuka kuanzisha mada wakati hata hawajakusanya data mwisho wa siku wanaonekana ni vitumbua tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magufuli ndani ya miaka 5 sioni cha maana alichofanya zaidi yakubambikia watu makasi.
 
amefanikiwa kuidhoofisha CUF na CDM

amefanikiwa kumchomoa babu seya
 
Haijakwama, kilichokwama ni logistics za malighafi za utekelezaji ambazo ziko njiani.
 
Tunataka Uzinduzi Na Vigeregere Sin kutuonyesha mapicha kama ni meli ibebe watu iwapeleke kagera Meli ya ziwa Tanganyika vipi?
 
Ukiachana na gesi na misitu Nchi hii ina hazina kubwa ya watu wapumbavu, mwalimu wao wa zamu ni mleta mada.
Udhaifu huu ndiyo mtaji wa CCM sasa spika anaenda kinyume na katiba hakuna wa kumzuia kumkemea hata spika wa Dunia anaona aibu kukosoa Ndungai
 
NAWAKUMBUSHA TU KUWA TUNA MIAKA MINGINE MITANO AMBAYO NI MIGUMU ZAIDI YA HII YA MWANZO
Magufuli ataongoza miaka 12 kwani ameachia watu wakae vijiweni vibarazani makanisani misikitini misibani waambukizane corona wafe kwa wingi ili apate kisingizio cha kuahirisha uchaguzi mkuu mpaka 2022 kisha uchaguzi ukifanyika akae miaka mitano ni mbinu ambayo hata kagame huitumia
 
Back
Top Bottom